Mimi ndo mana sipigwi ju akijaribu tu Mara hio hio naondoka 😂
2026-11-18 06:36:01
3
mwajei kassim☘️🇴🇲 :
shekh nilipigwa san nikiwa na mimba😢
2026-11-17 19:33:26
10
Aisha Beb :
Na vile mume wangu aliniuma kidole juzi amebakisha kuniuma mgongo sasa ndio niombe 😂😂😂
2026-11-17 20:58:02
3
ALFARUK TEABAG :
mke wangu asiione hii video 😳
2026-11-19 16:03:16
6
Imtiaz Visram :
na mke akipiga mume
2026-11-17 11:19:57
2
Queen Sabrah :
duuh sisahau kanipaga kwa ajir ya mchepuko wake kuna mda nataman niondoke ila namuonea huruma mwanang hawezag kukaa mbali na baba ake
2026-11-21 08:03:51
4
Salum Othman :
wangu alishaondoka zamani maana nilimpigia na akaomba nikampa😊
2026-11-19 11:52:40
1
dully :
dah nashukuru mungu mkewngu sijampga tangu nilivyo muoa na naomba mugu isitoke
2026-11-19 14:56:27
6
SARAFINA :
Yni nasubiri mtu aniguse 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-18 08:56:19
6
Amina Manda :
Allah akulipe kheri nyingi siku zote unamafudisho mazurii
2026-11-19 17:41:57
5
ney ney :
tusha pigwa sana tunasameh
2026-11-19 19:59:00
2
kiboribo :
yaani umenifurahisha kweli shekh
2026-11-22 11:08:14
2
suemaya :
so sad thy dnt even spare a preg woman
2026-11-19 15:15:32
2
user8620547720446 :
Allah Akbar
2026-11-22 18:48:22
1
Sasha luxe👑🧚♀️ :
Mimi nilikuwaaa napigwa zamaniii Asa iviii hata sikubaliiii narukaaa km jee lee
2026-11-19 08:45:54
4
Amina mkilindi :
hii inaumiza sana
2026-11-21 14:06:05
1
mwa234 :
Allah Akbar Masha'Allah
2026-11-17 09:59:23
3
SALUM MUHABESHI :
cna hata haya😂😂
2026-11-19 11:43:21
1
j d 14 :
kwanza after kupigana halafu reconciliation game huwanga finals
2026-11-17 09:10:38
2
user5002225615517 :
Allahamudulilahi wangu hanipigi🥰
2026-11-18 09:11:45
1
Mwanaidi Mohammed :
me nimepigwa mara kibao na atak kunipa talaka
2026-11-18 12:38:07
2
Jy king msabaha :
kwazamazetu shekh hakufaa kuyasema haya kama wanaomba talaka hawajapigwa jeh wakiyasikia haya kunaelimu sio zakubainisha wazima kutokana na zama zamwisho ili
2026-11-18 09:15:45
1
SEVEN DASH🇹🇿✊🏿 :
na sisi tunaopigwa na wake
2026-11-20 09:48:26
0
Jy king msabaha :
kwaili shekh nimekumaindi sana
2026-11-18 09:19:58
0
To see more videos from user @safiajarso0, please go to the Tikwm
homepage.