Sasa kama messi anatumia iphone 13 ,iyo iphone 18 yaaanini yaaaanini mie 😂
2026-11-17 13:42:15
39
REAL_man edit😎 :
kawaida hiyo hujui au
2026-11-17 09:35:25
8
sall :
anacheza game bhana ,see piano
2026-11-17 17:11:44
2
##### :
Messi is the goat
2026-11-17 09:51:16
4
kizz damn :
ankara typing ankara typing sent sent seeeent received
2026-11-17 18:53:17
5
YUSSUF ABDALLA :
ukiangalia vizur hiy vdeo imepelekw harak hark
2026-11-17 15:46:25
2
SMILING KILLER 🎮😈 :
ANACHEZA GAME [Tears of joy]
2026-11-17 10:28:34
4
whyte :
hahahahahahaaaa! kk unazingua et heruf anaziona kama ramos na masello
2026-11-17 15:48:13
1
Simon Marwa :
mmoja aje nichati nae kwa speed hivo
2026-11-17 20:27:50
0
ÖZIL ⚽✅ :
Heee hawa vp bc kuchati tena yy anaangalia mm siangalii na sikosei
2026-11-18 16:23:07
0
I.T.C. ExcelsioR :
sasa ivi c ata mm nafanya,, ushawai nikuta na kibatani tena ata siangalii simu
2026-11-18 13:39:14
3
Diane🌹☃️ :
Ila mi hapo kwenye si mwanadamu wa kawaida huwa nacheka sana… huyu jamaa ni wale watu maalumu wale talented people..au bas🙌😅
2026-11-18 06:52:32
2
~peterson2🎮🏀 :
Mmh hiyo kweli ni simu au kava🤔
2026-11-17 13:31:08
2
himpu :
mambo yaka waida
2026-11-19 09:37:54
2
Bad vibez :
iyo inaitwa typing burst😁
2026-11-19 15:59:15
1
samweli wapili :
lazima kuna herufi akikosea kuandika anafuta😁😁
2026-11-17 19:39:12
2
Eddie.45🇹🇿 :
Hapan uyo mess ni NYOTA YA KAA wanapenda kuchart kuliko kuongea so mess kazaliwa june 24 NYOTA yake ya KAA Watu wa KAA wanapenda kuchart kuliko kuongea na simu..🥱😁