@sheikhnurdeenkishk: Usijiaminishe kwa mipango ya kesho, kwani hakuna ajuaye yatakayojiri isipokuwa Allah (Subhaanahu wa Ta'ala). Panga, kusudia na jitahidi, lakini usisahau kusema INSHAALLAH. Hakika kila jambo hutokea kwa idhini na mapenzi ya Mwenyezi Mungu. 🤲 ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako