@mkatoliki.wa.moi: Msifuni Yesu Mwokozi Lyrics Msifuni Yesu mwokozi enyi malaika Enyi malaika mwekeni mfalme wa yote Kamvi-ke mvike mvike mvike Mvike mvike mvike kamvike kilemba Enyi Waisraeli mliokombolewa Mliokombolewa mwekeni mfalme wa yote nanyi waovu wenye dhambi Pendo lake kwenu hausahauliki mwekeni mfalme wa yote Watu wa kabila zote katika dunia Katika dunia mwekeni mfalme wa yote Shangwe na utukufu ziwe kwake Mkombozi 'kombozini na mfalme tumweke mfalme wa yote #MkatolikiWaMoi #creatorsearchinsights #catholictiktok #catholictiktok #fypシ