kunamuda mpk mtu unatamani kumwambia nivumilie kidg tuu mpk ntakapo pata nguvu ya kuondoka ntaondoka
2026-11-18 05:18:38
47
honey💕🎀 :
tunao penda sana tunapitia manyanyaso😢
2026-11-17 20:17:18
35
💍nly Betty🌸💫 :
Nmetoka kulia tena
2026-11-18 19:16:00
1
Getruda kazingoma :
wanatuchukulia poa jmn inauma😏
2026-11-17 20:38:01
12
@breezy😁✨⭐ :
niulizeni mm naogopa hata kupenda Tena nmekata single had nmesaau namna yakutomgoza
2026-11-17 22:47:11
9
😇Lovely bird 🕊️💕 :
this absolutely fact
2026-11-18 12:41:15
0
Briana :
STAKI MTU ASEME KITU
2026-11-17 21:49:11
4
Aziza Nyamsada :
hiyo ni Dodoma kama sikosei wakati mwingine tuachane tu na mapenzi
2026-11-18 17:22:32
1
it's einerh :
exactly
2026-11-18 04:55:14
0
mama jay :
nimecheka alivyomwambia toa mkono nione mvii
2026-11-18 16:50:02
0
shuu💫♥️ :
sio labda nd ukwel huo
2026-11-17 19:04:52
8
baby miaa 🥀🌷 :
Sio labda ni kwel guys imenikuta sasa hivi tu naliaa 🥹🥹
2026-11-18 21:16:07
0
hamad muhammed :
ni kweli mpaka najiuliza niweje 😩😩
2026-11-17 11:44:44
3
#WAKISHUA :
Kunasem ya voice maan nipo na mengi🥹
2026-11-18 06:26:21
5
Happyness Chriss :
Sio labda ndivo ilivyo , ukitaka yote hayo yasitokee jipende wewe kwanza sana alafu uwapende na wao pia ila uwe na mipaka na upendo wako kwao watu wanawatu wao
2026-11-18 06:50:42
4
J0J0dollarz🌷 :
Binadam anataka kusumbukiaa ukimpa urahisii haoni maana [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 14:35:44
1
joo_champi0n :
nina ushuhuda mtumish 😁👍
2026-11-18 06:12:22
1
Lee mummie💗🤍 :
🙌🏼🙌🏼
2026-11-18 09:57:47
1
Mr☠ kbos41 :
Labda💌
2026-11-17 21:23:40
1
zu baby :
ila ck moyo ukichoka ndo atajua kwamba kwangu hat shetani anasubr pembenii
2026-11-18 04:25:21
2
Elly deeply art painting 🎨💯 :
sure🫵Exactly 💯 🙄 👏 👌 👍
2026-11-17 19:30:32
1
iremy❤️ :
Sio labda nikweli me naushuhuda 😂😂😂
2026-11-18 06:26:46
1
Heart💔Alone🖤 :
ngoja nikaee kmy maan mm niliwahi kumpa mtu moyo wangu alicho nifanye nilijikuta nipo hospital
2026-11-17 15:20:36
2
Gee💞 :
mwezonu saizi nipo bize na fedha🤔
2026-11-17 13:26:38
2
To see more videos from user @tundumaicon, please go to the Tikwm
homepage.