Jamani, na nyie acheni ku exaggerate mambo.Sasa hapo si mmeunganisha unganisha picha???.Hata hivyo maradhi hayakwepeki ,unaweza ukafanya jitihada zote lkn ukaangukia kwenye maradhi hayo.Kwani si kuna baadhi ya Washauri wa Lishe na Afya wanaangukia ktk maradhi km hayo!!!.Haya mambo tuombe tu Mwenyezi Mungu atusaidie.