@come.tv.tanzania: UPAMBAJI WA MAREHEMU!!! AJIRA MPYA, MUNGU ATUTIE NGUVU KATIKA UTAFUTAJI HUU!! #rwandagov #somalia #burund #congo #southafrica #zibabwe #uganda #kampala #daressalaam #dodomatiktok #mbeya #mtwara #nairob #bujumbura_burundi #kinshasa #captownsouthafrica #mozambique🇲🇿 #nigeria #kenya #tanzania

Come Tv Tanzania
Come Tv Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 15:57:57 GMT
53264
683
239
371

Music

Download

Comments

fatmaomar2918
fatmaomar2918 :
Najivunia kua Muslim
2026-11-18 06:24:07
75
yahya_abdi1
Bayaa_Classic :
Munampamba aende wapi
2026-11-18 06:55:18
39
user6854124181027
ruqaiya :
Alhamdulillah nashukuru mungu kuzaliwa muislam [Pray][Pray][Pray]
2026-11-18 07:44:49
22
amaynah38
amaynah :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] dah siyakucheka kwa kwel
2026-11-18 13:48:11
0
mrs.hussein.og0
Mom Rahma Sweet cake & Bites :
kwamara ya kwanza nimekosa cha kuongea, nimebakia kucheka tu
2026-11-18 05:39:37
21
khadijajuma433
khadijajuma433 :
sisi waislam tunapambwa kwa sanda na pamba na karafuu mait Allah swt atujaalie khusnilkhatima
2026-11-18 08:44:09
39
hussein.suarez6
Hussein Suarez :
Daah bongo kuna mpaka salon za maiti hatarii hii
2026-11-18 08:05:32
8
user8313655972436
1199 :
Subhaanallah Subhaanallah Subhaanallah.Allah awatie Elim kweny mioyo yenu 😭🙏
2026-11-18 10:31:23
15
user2528662157407
Apasia✨️ :
kwahiyo tunazika laki 5. makubwaaa.
2026-11-18 07:32:37
5
farihaty2
☘️farihaty🍀 :
mamb gani hayo yakupodoana
2026-11-18 14:20:04
1
aminatuswago
Aminatu Swago 🇹🇿 💰 🇴🇲 :
hio hela si bora mpeleke vituo vya watoto yatima 😳😳😳
2026-11-18 06:24:59
5
dearmama6
Dear mama computers💻🧑‍💻 :
duuuuuuhhhh
2026-11-18 14:10:18
0
saleyzo.boy
ney ney :
unamoyo😳
2026-11-18 14:28:33
0
faryidamohammed
Fariyda Massanah Moh :
uwiii, Alhamdullah for being Muslim
2026-11-18 09:19:36
6
sarahbenedicto636
mama ayman :
ajira hizi nihalam jaman😭😭😭
2026-11-18 07:06:40
2
nejme.sule
Nejme sule🌸 :
maiti wanapambwa SubhanaAllah🙏
2026-11-18 08:49:52
7
mrs.said01
🥰 :
Inna lillah waiina ilaihi rajion, Audhubilah miin dhalika ,hasbiyallah hasbiyallah
2026-11-18 10:53:22
7
madam_diana26
madam Diana :
duh mnauhakika huyu yeye so marehemu
2026-11-18 09:19:42
1
asha_20907
kide45 🎄🎄 :
Hee Allah s.w atupe mwisho mwema
2026-11-18 10:59:46
5
kojozitokojozito
Kojo Zito Kojo Zito :
kwaiyo Anapoenda Atongozwe nanani?
2026-11-18 09:21:02
0
user4605161814937
user4605161814937 :
Hata kama ni kujiari ila hii hapana, duu
2026-11-18 07:09:09
3
user9765825456170
user9765825456170 :
😳 mi binafsi nakosa chakuongea
2026-11-18 07:22:18
3
monicadastan149
Monica Dastan :
Mnamuelewa huyu dada
2026-11-17 21:00:38
2
user3808787721vikram
Ahmed :
mnampamba ili iwejeee ss?
2026-11-18 13:52:58
1
yusra.kumbilamoto
Yusra Kumbilamoto :
subhanallah 😳Astaghafirullah
2026-11-18 09:16:20
4
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About