@alexmutwiri18: #creatorsearchinsights #underratedspotstovisitinnewyork Maafa Ya Mafuriko: Msichana wa miaka saba afariki kwenye mafuriko Mtoto huyo alianguka kwenye mafuriko Tana River Wakazi wa eneo la Boji wanahofia maafa zaidi kutokea Hii ni kufuatia mito kuendelea kujaa mvua ikizidi #CitizenNipashe