Nilizunguka town nikitafuta Afya center nikajipata kawangware😳
2026-11-18 11:23:36
24
Kerubow :
hapo koja kuna mzee anauza vitabu kuna siku nlimuuliza njia nazunguka bado najipata kwake kama mara nne mpaka akaniambia wewe msichana kama hukua na pa kuenda kaa hapa tuuze hizi vitabu😂😂😂
2026-11-18 18:04:50
12
it,s sharlyne 💗💗💗 :
Mimi Sunday nilitoka kavangware,,[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] nikaekwa achieves,,,so instead ya kuenda coarcher juu sijuii Mahali Afia center iko,😭😭😭nilijipata kigomba [Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 19:53:56
0
Flora🥰🥰Flozy🥰🥰 :
😂🤣😅🤣 ata mm nshaizunguka tao from 6:00am to 7:pm 😂😂😂😂😂
2026-11-18 17:10:53
6
Ladygaga@🔥🔥 :
Mimi huwa nachukua boda ananizungusha hadi ananirudisha penye nimetoka 😂😂😂😂😂😂
2026-11-17 19:25:20
16
Mary Mwendwa :
that's the real me🤣🤣🤣
2026-11-18 18:52:29
0
Kerry❤️💕💞 :
That was my situation on Friday
2026-11-18 12:33:26
0
user70236618262505 :
me nikipotea ndani ya supermarket,nawasha fegi natolewa inje na soja
2026-11-19 01:29:59
1
Jeff Omondi :
mm niliwai zunguka na rudi kujipata tu kwq the same roads😅😅😅
2026-11-18 12:52:52
3
firdaus :
yomiii nimbaya utajepwaaa[Tears of joy][Laugh approved]
2026-11-18 12:01:03
0
Trizah💙💙🤑🤑💯@@#[& :
imagine nilizunguka nikitafuta otc na nililkua tu hapo😂😂😂😂😂
2026-11-18 18:14:22
2
Gama :
mm nilizunguka afya centre hadi nkauliza kama waliniona nkipita hapo wakasema umezunguka hapa sana
but why😂
2026-11-18 18:36:43
2
BB girl :
nilizunguka town mzima nikitafta tea room ...nikajipata ngara ndani 🤣🤣🤣
2026-11-18 17:23:01
1
Jane muthoni :
this is me 🤣
2026-11-17 19:25:48
0
Nyar Otii :
Mii uliza soja, ama watu wa matatu
2026-11-18 18:38:06
2
Tilda Bae♥️♥️ :
Iyo n mm aki on sun nimezunguka adi 8:30ndio naona mahali Afya Center Iko 😂😂😂😂😂😂
2026-11-18 10:10:12
2
mara clara :
pia Mimi nakumbuka nlijipata kariokor nkitafuta stage ya nicco
2026-11-18 19:00:05
0
Joy memo🌹 :
halafu kuna Mimi naulizia tena after every 60 metres ☺️😁
2026-11-18 18:09:56
2
joyfay :
nilizunguka Nairobi 1hr 30min ikabidi niulize 🤣
2026-11-17 18:34:05
8
Fei fei :
nilishawahi fanya Ivo nikajikuta nimezunguka Nairobi town 2hrs karibu nisikie kulia,na sitaki kuulizia mtu aniambie vile naenda,ilibidi nikae mahali nipumzile kwanza
2026-11-17 18:10:12
1
mummy luis :
ama nirudi mahali nimetoka nianze afresh
2026-11-18 10:50:47
0
🦋Feikui🦋🦋✨ :
Nilizunguka nikitafuta RNG plaza kwenye nilikuwa nilijupata afya center 🤣🤣, guess what sikujua vyenye nitarudi RNG🤣🤣
2026-11-18 18:13:35
0
itsgonnabeokay :
mi hubuy sweet kwa hawkers alafu namuuliza direction
2026-11-18 02:06:40
1
kalastie vip :
Bora nko kenya[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 04:02:46
3
loise 🦋🦋 :
mimi nilizunguka tao nikitafuta archives nilijipata kwa konja tena kurundi ni sikumbuki njia nikajipata kwa basi za mombasa na ata nipotee aje siwezi uliza mimi heri nizunguke nai yote🤣
2026-11-18 20:16:52
1
To see more videos from user @maxiecleverboy, please go to the Tikwm
homepage.