Mi kuna mtu alikuwa havai hata saa siku hizi anavaa saa uzeeni, perfume , hadi uchangamfu wangu kaiga khaaa..!😁😁😁😁 kibali tu ndo hana😁
2026-11-17 17:06:11
68
Trina_scents_Moshi :
uzuri ni kwamba hawezi kua kama mimi 😂
2026-11-18 07:06:57
39
Nicetaste Tz :
Kuna mmoja niliona anaanza kulinganisha mumewe na wangu oooh nikaona hapa kuna wivu but sijaongea namuangalia tu but I will cut her off one day
2026-11-17 17:10:41
9
reinnahy01 :
Alinunua Adi nguo Kama zangu alipotfuta Mtu Kama wang ndo alishindw 😂😂😂
2026-11-18 10:58:24
10
Estermary Munisi :
Na wakishndwa recreate, wananunaga bila sababu😅😂
2026-11-17 19:35:40
19
कार्नेशन🦋 lunabelle🦋 :
Mfano mzuri ni twisted affairs Damla kachukua kila kitu cha Neslihani lkn hawez kua Neslihan
2026-11-20 08:46:25
3
Marie 🌹 :
Wambie hao yaan kama mm kazin
2026-11-18 18:20:11
0
Momfirdaus :
sasa sie wengine tumekutana na wanaume wa ivo.sasa yani 😄
2026-11-17 18:18:48
3
Muuza usingizi 🛏️ :
Ila we dada❤️me nakupenda unanifundisha mengi
2026-11-18 04:40:27
7
PRISTINE STORE/KARIAKOO :
Mimi nakupenda sana adi nimejifunza kupaka lipstik 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-18 18:36:41
1
____Honeybee🌸 :
Yaan yaan au basi😂
2026-11-17 17:53:38
5
nice one@❤️ :
kila mtu anakibali chake jaman, mtu ishi maisha yako tu🥰
2026-11-18 11:08:58
4
Lightness john :
nakubaliana na wewe sometimes ni stage flan mtu anaipitia +background yake na maisha anayoishi hustle na yale anayoyatamani kuyafanya inampelekea anakua hvyo..kuna kipind nilipitia hii hali lkn nilivyoanza kushika hela kubwa na kuanza kujinunulia vitu vizur vya level yangu nikaanza kupata unafuu na kupona kbsa
2026-11-18 16:41:05
5
mis ever :
wapo sensitive na vitu vyako sanaaa kama uliwah kuwaeleza makosa yako wanayakumbuka kuliko hata ww na wanakukumbushia
2026-11-17 19:12:15
4
interior_by_eliqueen :
Wengi wao hawanaga furaha na maisha Yao na pia wanaogopa sana energy yako
2026-11-19 16:28:31
1
Better world 🥰 :
Mi kuna mtu alikuwa havai hata saa siku hizi anavaa saa uzeeni😁😁😁😁
2026-11-17 16:57:21
3
Trish sissy :
Hii ndio kiu ya waliokosa kibali kwa uvivu,uzembe,kujiendekeza ama wakati wake ni kwamba haujafika tu sio kwa ubaya sasa wivu unainuka wanashida hawa
2026-11-20 12:02:16
1
mexnrai :
Lijirani langu hilo
2026-11-19 21:49:25
0
nanah capaccino 🇸🇳 :
Ndo maan ukianz kunipend pend lazim nikutem coz najua utatak kushindan n mm Khee ila binadamu[Tears of joy]
2026-11-18 01:45:28
3
Yote heri :
Alafu wengi wamefeli maisha
2026-11-17 22:52:14
3
user7581618106599 :
ndio mimi jirani yangu anaiga kila kitu hadi tembea yangu vaa yangu ongea yangu anafuatilia hadi maisha yangu hadi anaenda kwa wifi yangu wanichambueee kabadilisha hadi duka kutoka wakala au duka la vyakula kama mm 🤣🤣🤣 mbaya zaidi ananisema vibaya balaaa wakati alikuwa anavaa nguo week sahivi ananiiga atlist anabadilisha nguo🤣,Tatizo langu nimoja kwann unaniiga kila kitu alafu unanichafulia jina,unanisema vibaya mbaya zaidi wamejiunga kikundi ila hakuna anayenifikia Mungu ni Mungu jamanii ,alafu wataiga kila kitu lakini huwezi kuchukua aural ya mtu hata hufanyaje.Ukiiga mtu mpe maua yake nasiyo kumsema vibaya vipembeni
2026-11-18 06:15:43
3
Dee001🍒 :
Nikupe nini jamni
2026-11-17 16:52:54
1
To see more videos from user @ms_clemee, please go to the Tikwm
homepage.