@bbcnewsswahili: Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alifanya kikao na viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa kujadili mchakato wa maridhiano ya kitaifa na maandalizi ya mchakato wa marekebisho ya Katiba. Kikao hicho kilichofanyika Ikulu kimeacha maswali mengi kuliko majibu. Wanaridhiana nini na nani? Je, vyama vilivyoshiriki vina ushawishi wa kutosha? Munira Hussein anaelezea haya kwa kini #bbcswahili #foryou #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #maridhianotanzania #samiasululuhassan
bbcnewsswahili
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 17:36:56 GMT
Music
Download
Comments
rashdtz :
Bila chadema hakuna maliziano hapo
2026-11-17 17:53:42
166
21 always. :
hatutaki marekebisho tunataka katiba mpya
2026-11-17 17:45:25
80
manvet :
Katiba mpya hio itakua ina chekesha kuliko ya sasa
2026-11-17 20:00:00
31
baba anna :
una macho mazur mrembo
2026-11-17 19:22:51
6
Mk 47💦🍁🍁 :
nimarufuku kumsema rais wetu vibaya Zaid yetu sisi wenye NIDA saw ww
2026-11-17 17:42:21
8
Taika store🛍️ :
NO REFORM NO MARITHIANO
2026-11-18 10:42:23
0
. :
stop forcing hate
2026-11-18 17:56:49
0
Benjamin Butati :
chadema ndiyo sauti ya watanzania
2026-11-18 11:43:45
4
Immaculate Igosha :
politics is a dirty game
2026-11-18 10:26:36
1
Des :
Hakuna chama kikuu cha upinzani nchi hii.
2026-11-17 18:33:46
10
🥷Wazili sinapesa 💰 🥷💔☠️ :
Bila chadema hatutakiii malidhiano
2026-11-17 19:02:59
17
Ali sykes :
Sasa nyie BBC ndio mnatupangia!? chadema sio lazima washiriki waliokubali inatosha
2026-11-18 09:43:37
0
sureimaniibrahimu :
HUU NI MCHEZO WANAJITEKENYA WENYEWE NA KUCHEKA WENYEWE
2026-11-18 11:57:46
2
Eddie :
Ni mchezo wa kisiasa tu hakuna maridhiano ikiwa bado CCM wako mamlakani
2026-11-17 18:05:22
10
lucasbile :
samia so raisi
2026-11-17 18:36:29
0
Nyabange :
anazikumbuka hizo tume maana Kila kukicha zinaundwa
2026-11-17 19:03:19
8
Mameritha :
mwanasheria sina ngoja nikae kimyaaa
2026-11-18 12:25:30
1
pascal pondelo :
wana chezea kodi za taifa
2026-11-17 18:11:13
7
xyb9874 :
Hivi kwa nini mashirika ya habari ya ulaya ndio mna genye kubwa na habari za Tanzania? Huko kwenu hamna habari za kuwatangazia wananchi wenu?😳
2026-11-17 21:46:26
0
kucha :
Icc wanachelewa sana jaman
2026-11-18 10:42:03
4
user9868565712233 :
chadema ndio mkombozi wetu
2026-11-18 13:52:04
2
Sulei :
Kabla ya vulugu watu walishauri, wakabezwa. Maridhiano bila utashi wenye dhamira njema ni ngumu
2026-11-18 13:39:49
4
samamunisi :
Huo ni mchezo wa Mama ili aendelee kutawala.
2026-11-18 10:04:30
3
Baraka Msigala43 :
Mchezo tuu wakisiasa
2026-11-17 19:18:19
4
humphreylukambing :
SISI WATANZANIA TUNATAKA AMANI
2026-11-18 07:35:09
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.