@mwanzaview: Ziwa victoria hazina ya mwanza❤️ uzuri wa asili ambao macho hayachoki kuuona mwanza ni zaidi ya mji ni fahari ya 🇹🇿 🔥#mwanzaview #lakevictoriaview🌊 #visitmwanza #tanzania

mwanzaview
mwanzaview
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 18:05:14 GMT
28549
1467
31
22

Music

Download

Comments

kasagul12
kasagul@12 :
tusubili maajabu ya mwana marundi
2026-11-18 13:02:37
3
edina.malula
Edina Malula :
shida leo jiwe 3 zimeng'oka hvyo idadi ya mawe imepungua
2026-11-18 18:57:55
1
pretty.fahehe.gir
pretty fa :
tumepoteza mawe 4 wayaunge
2026-11-18 17:01:41
2
ramadhanimlokozi
ramadhanimlokozi :
nimeona mpaka Breck ya meli ya mv mwanza
2026-11-18 18:54:40
1
tzboyramy4
RAMADHANI MOHAMED276 :
leo mwanamarundi kaokoa
2026-11-18 13:33:38
1
denisalex17
Denis alex (mzanaki) :
yure nahodha kagonga mawe apo amezingua sana ☺️😊
2026-11-18 19:55:55
1
alexnyanda581
Q7 :
dah bola kare kajiwe nembo ya mwanz hakaja anguka
2026-11-18 13:27:13
1
draick.bavon
Draick Bavon :
Sa mbona sioni meli ikigonga!?😅
2026-11-18 19:06:09
1
mr_p499
MR_P🫣 :
hapo ndo mv mwanza imepaharibu
2026-11-18 13:58:37
1
marthapaul819
It's me Matty :
Bora mawe yamebaki salama nawatu wamepona🙏🙏🙏
2026-11-18 16:57:32
0
gaston001_
Gaston_001 :
hapo matengenezo ni trilllion miatisatisini na tisa mia nanen na nane elfu miasaba sabini na billioni tisa na kumi na mbili nukata tisa tisa tano
2026-11-18 15:31:37
0
philbetimbanga6
philbetimbanga6 :
atuko nayo tena mawe yetu yakupigia picha[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-18 22:30:16
0
3334449999khan
A KHAN🦅🇹🇿 :
ila maj amn mabombani 😳😳
2026-11-18 18:32:02
1
jairax22
Prince Charming 🏆 :
Heri meli izame sio hilo jiwe [Tears of joy] fujo yake Wakuizima sijui nani [Tears of joy]
2026-11-18 15:49:37
1
g.winmillionaire
g.win millionaire 💵 :
ilitakiwa ako kajiwe ka mwanza kaanguke .historia ibadilike😂
2026-11-18 17:23:12
0
michael.k482
mwamanyili 💯💯💯 :
Leo mahili hamuna kbs
2026-11-18 15:44:00
0
ukerewe0
UKEREWE🇹🇿 :
💪💪💪
2026-11-17 18:53:03
1
To see more videos from user @mwanzaview, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About