@rubabaimani: Katika siku za hivi karibuni, video za mfugaji wa kuku wa mayai kutoka Tanzania, zikimuonesha akizika maelfu ya kuku waliokufa, zimesambaa na kuvuta hisia za watu wengi mitandaoni. Kutokana na tukio hilo, timu ya Rubaba Media imemtafuta mfugaji huyo, anayefahamika kwa jina la Nashbabe Mollel, ili kuzungumza naye kwa kina na kufahamu safari yake ya ufugaji, kilichotokea na chanzo cha janga hilo lililosababisha hasara kubwa katika mradi wake. Katika mazungumzo yetu, Nashbabe ametueleza kuwa zaidi ya kuku 9,800 walikufa ndani ya siku moja! Je, nini hasa kilitokea? Ni changamoto gani alizokutana nazo kabla na baada ya tukio hilo? Na amejifunza nini kutokana na janga hili? Tazama mahojiano haya kupitia Rubaba Media ili kufahamu simulizi nzima. ========================= JIUNGE NA GROUP LETU LA KILIMO NA UFUGAJI WA KIBIASHARA. Tuma neno "NIUNGE" kupitia WhatsApp kwenda 0764 148 221 upate elimu, fursa na maarifa yatakayokusaidia kufanya kilimo na ufugaji kuwa biashara yenye tija. #KilimoChaBiashara #UfugajiWaKuku #RubabaMedia #rubabatv
Imani Lubaba
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 18:12:06 GMT
Music
Download
Comments
mangira :
pole sana, ukirudia tena ufugaji, jitahidi kuwapa kuku chanjo, kideri chanjo yake ukimaliza zile chanj za mwanzo, gomboro, ndui na kider, jitahidi kuwapa chanjo ya kideri kia baada ya miezi mitatu, maisha yao yote. kama unavyofahamu magonjwa ya virusi hayana dawa ila yana chanjo.
2026-11-18 16:19:11
0
user5264430380490 :
pole sana dada mm nataka nitumie nafasi hii kuwashauri wakulima na wafugaji kateni bima ili ikitokea hasara km hii bima ukurejeshe pale ulipo bima huwa haitajirishi mtu bali inakukinga na majanga
2026-11-17 19:45:07
6
K2 :
wauza chips wp?
2026-11-17 20:09:11
0
muba mziguq :
lakin dada kuna siku nilikuomba dada usipende kupositi kuku kuna watuu wana macho mabaya ukanimbia una muamini mungu nika kwambia mim baba yangu alikua na kuku kam wew lakin nika kwambia dada posity mayai tuuu usipende kuposit mafanikio yako kuna watu wana machoo mabaya lakin pia pore kwachangamoto
2026-11-17 20:04:11
1
happy :
pole kideri hakibakishii yaani tujitahidi kuchanja jmn kwa wakati jmn
2026-11-17 19:25:14
1
madaha wanaman@01 :
daaaa pole sana dada hata hivyo wewe ni jasili usikate tamaa songa mbele
2026-11-17 19:31:01
3
MANDINGO :
tunazka hapa hapa au tuna safrshaa
2026-11-17 19:28:36
2
legendary sachy :
Hakuna mambo ya insurance tanzania??
2026-11-17 19:38:30
1
user692228603711 :
Pole sana Mungu akutie nguvu dear ya kuinuka tena
2026-11-17 19:42:13
0
Nunelee :
pole sana dada yangu inauma sana
2026-11-18 05:59:31
0
saumu V.8 :
pole.sanaaa
2026-11-18 03:24:59
0
Hansila Emmanuel :
Ungeuza ata buku mbilimbili sokoni kulikoni siku nyingine ikitokea peleka soko unauza kha mtumba usipate hasara
2026-11-17 20:03:37
0
judithsambo3 :
mweeeee 😭😭😭😭
2026-11-17 18:42:51
1
Bahati William :
duu pole sana dada,ila Mungu nimwema usikate tamaa
2026-11-17 20:13:39
0
Michael Tesha :
pole sana daa
2026-11-17 20:14:37
0
kavishe_mobile_tech-📱📲 :
ukifuga akikisha una daktri mzuri
2026-11-17 18:49:49
0
petroelizabeth56gmail.co :
pole sana
2026-11-17 20:03:18
0
Mamosi12 Outfits 👗🛍️👜 :
Pole sana dada
2026-11-17 19:57:47
0
Grace mezza♥️ :
Pole sana
2026-11-17 19:57:38
0
R. Ndosi :
Jamani pole sana dada.
Mungu akusaifie upate watu wa kukusapoti uanze upya. Inauma mno
2026-11-18 15:03:21
0
Blessed Girl 🏹 :
walikufa 18 tu vifaranga wa wiki 3 aisee niliumwa moyo siku 2 ,sasahv si ningekuwa hospitali
2026-11-17 20:02:20
0
Cr.ZB91 :
pole saana pole kabisa,mpaka naumia
2026-11-17 20:01:06
0
Recho End Emaaa###@ :
pole sana
2026-11-17 19:59:43
0
Suma Mwambegele :
mpendwa pole sana hatuna kingine zaidi yapole ukweli polesana??
2026-11-17 19:26:31
0
To see more videos from user @rubabaimani, please go to the Tikwm
homepage.