kuna wakat ukipita huyo mama utakuta anamfunza mwanae vitu vya skuli wakiwa wamejifunika mwamvulia
muda huo kkoo kuna majua kama saba yamefunguliwa😢😢
2026-11-18 21:39:28
3
phino olamide :
dah DOGO ana kitu... Coach wetu ndio amekufa juzi tu kwaa AJALI 😭😭
2026-11-20 04:08:10
0
ibu jaka :
wapiii alipo cjuh 🥊🥊
2026-11-18 16:09:14
0
RICHARDI JOBU :
Really talent
2026-11-19 10:21:01
0
MAJIDY_07 :
aisee kipaji hiki
2026-11-18 12:41:37
1
BIG MAN :
@🥊BOXING TANZANIA
2026-11-19 08:45:15
1
ndwanga boy :
Aya maisha kuna watu Wana pitia vikwazo vingi sema Allhamdullah ALLAH aisimamie iyo fmly na kipaji cha uyo kijana wetu 🤲
2026-11-19 09:13:55
1
silimbwiga🇹🇿💞7@7@👣 :
Sisi wazazi tunashurukuru mungu pale anatupa Afy njema watoto wakiwa salama na fraha atuna budi vikubwa tukijaliwa napo tunashukuru 🙏🫶
2026-11-20 16:21:58
0
Code Black :
inamana mama hapo ndipo anapoish au🥹
2026-11-19 13:23:04
0
Huxein Ballers🐐🇸🇳 :
Ana k2 huyo 🙏🙏
2026-11-18 13:27:46
0
Adampatrick98 :
wenyekuweza kumsapoti asapotiwe[Innocent]
2026-11-19 03:09:16
0
M-BONGO MOVIE ONLINE :
Wapi hiioo
2026-11-18 13:45:24
0
Ramadhan Juma :
anapatikana wap huyo dogo
2026-11-18 16:53:33
0
JamesTZA🇹🇿 :
champion
2026-11-18 18:51:00
0
Code Black :
dah. maisha Yanatufunza mengi sanaa tusijisahau
2026-11-19 13:22:16
0
BIG :
Kipaji kimekosa wa kukisimamia, wadau wa ngumu mtafuteni huyo dogo😳😳
2026-11-17 18:45:20
0
dickeez :
yupo kariakoo uyu namuoneaga huruma @Esko Donald najua ushindwi huyu mama anaumiza sana ukimwangalia jaribu kwenda pale kariakoo kituo cha mwendokasi msimbazi utamuona
2026-11-19 13:49:01
2
Ismail Pinto :
@M_A_F_Y_A B_O_X_I_N_G kipaji hiki kikuzwe
2026-11-20 04:52:04
0
To see more videos from user @frank.sneakers.ma, please go to the Tikwm
homepage.