pesa sio kila kitu naomba hiyo kauli ife kuanzia leo.
kwa nini kwa sababu ili uipate hiyo pesa lazima kuna kitu cha kubadilishana ili uipate hiyo pesa.
yaa pesa ni mabadilishano baina ya pande mbili.
kwahiyo kitu cha muhimu ambacho ni kila kitu ni kitu ambacho kinapelekea mabadilishano ili kuipata hiyo fedha.
hiwe bidhaa au huduma fulani hicho ndo kila kitu.
2026-11-17 20:44:19
3
Dybala Tz⚽⚽ :
oya wee wee 🤙🏽🤙🏽
2026-11-18 09:10:53
0
shavola Dancan :
good y[Pray][Pray]
2026-11-18 05:58:13
0
Fahaku 25 :
asant dada 🫡💯💯💯
2026-11-18 19:32:22
0
prefector :
nakubali xana pamoja respect
2026-11-18 08:33:45
3
Kija junior 🇯🇲 :
That has mass and occupies space
2026-11-17 21:28:01
1
lonely 💔💔 :
sahih
2026-11-18 20:14:38
0
Bahati Molis :
oya umetisha sana dadaangu 🙏🙏🙏🙏
2026-11-18 14:24:58
1
stev :
pesa sio kil ki2 pes ni ki2 muhim just mak it clear