@muhangary: Ulimwengu wa mitandao ya kijamii umegubikwa na vichekesho na maswali mengi kufuatia taarifa zinazosambaa zikitidokeza kuwa winga wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Bradley Barcola, alichukua uamuzi wa 'kusepa' katikati ya ziara ya duka la anasa jijini Paris baada ya mwanamke aliyetoka naye kupiga bili ya ununuzi inayofikia Euro 40,000 (zaidi ya shilingi milioni 110 za Kitanzania) ndani ya dakika 15 tu. ​Kwa mujibu wa taarifa hizo za mtandaoni, inadaiwa kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alijikuta kwenye wakati mgumu wakati wa malipo, na ndipo alipodai kuwa amesahau pochi yake kwenye gari, akahaidi kurudi upesi—lakini badala yake akawasha gari na kuondoka zake kuelekea kwenye mazoezi. Hata hivyo, vyombo vya habari vya kuaminika vya Ufaransa na Uingereza havijathibitisha taarifa hizo, huku kukiwa na maelezo kuwa stori hiyo inafanana na masimulizi ya "mjini" yaliyowahi kuwakuta wachezaji wengine mashuhuri huko nyuma. ​Hadi sasa, hakuna tamko rasmi kutoka kwa Barcola wala wawakilishi wake kuhusu uvumi huo unaoendelea kutamba kwenye majukwaa ya Facebook na Instagram, huku mashabiki wakiendelea kuburudika kwa maoni mbalimbali mtandaoni. ​#NestoShayoUPDATES #BradleyBarcola #Liverpool #SokaLaUlaya #UdakuNaMichezo

VEEN DIESEL🛼🛼❤
VEEN DIESEL🛼🛼❤
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 19:19:11 GMT
54798
2045
68
86

Music

Download

Comments

lisoo875
lisoo🦋🍭 :
we kuweza😁😁
2026-11-19 09:31:43
10
bazil.bm
REAL B🇹🇿 :
mwanetu huyo😂
2026-11-18 08:11:49
8
user7975997701054
wonta beckap :
alikuwepo kweny kikao nilimuona alikuw siti ya mbele
2026-11-19 17:37:41
1
bigger.mind8
Bigger Mind :
Bora yy milion mm nilikimbia bill ya chips kuku nusu 15000 wakat nilikuwa nayo yenyewe .
2026-11-18 12:32:40
9
kabongo_70
Nicholas Kabongo💫 :
Ametuwakilisha vyemaaa kbsa🫡
2026-11-18 14:14:56
17
oncemoq
Oncemoq :
yah thats wht i like
2026-11-18 15:03:59
1
d.kings275
D£ kings@🫅 :
we ungekubali[Tears of joy]
2026-11-19 08:31:39
4
akamalimmuhwe
Akamalimmuhwe :
Huruma sio malezi
2026-11-18 12:30:01
5
kjunior006
Boy from Ulowa💎💎 :
Familia kabisa huyo
2026-11-19 08:34:05
1
keviquotes2
KEVI QUOTES 🔕 :
Mambo yasiwe mengi
2026-11-19 17:14:18
0
abubakariy26
abubakary 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 :
ka2eshimisha👍👍👍
2026-11-18 10:56:30
3
de_swagz4
De_swagz45#💀💀🔥 :
hata mm ningeacha ndala ubinadam huo noooo
2026-11-18 15:12:09
3
emmanuel.kavvishe
Emmanuel Kavvishe :
ulikuwepo...????
2026-11-18 06:37:43
1
moyo.emmanuely
FIVE⁵ Star⭐⭐⭐⭐☆.G.O.A.T🐐 :
mboona hata me Nisha washangaza wengi sana wadada wa aina hiyo ya anasa
2026-11-18 10:40:42
2
mtegite
MTEGITE JR :
Safi sana mwanetu
2026-11-18 11:36:05
1
ramadhaniramadhan95
dele.TZ🔪🔪🔪☠️ :
apo Kuna mambo hayo 🤞
2026-11-18 09:32:55
1
abdallahsamgweno16
SAMGWENO 🙏🇨🇩 USITIE NENO🤐 :
hata mm nabuluza ndala😁😁😁
2026-11-18 06:48:09
2
cute21924
45 namba 😜 :
duh
2026-11-18 07:34:21
1
mserasaff72
henry72@ :
Ata ningekuamm ningekimbia
2026-11-19 15:15:22
0
teknixhamastermin
[email protected] :
Huyo ni mwenyekiti katika kikao🫡🫡
2026-11-19 15:39:23
0
off90265
~OFF~ :
2026-11-19 18:14:24
0
whisky.whisky52
Whisky Whisky :
2026-11-19 15:47:20
0
omarykigua698
Omary Kigua :
Mimi pia nimekimbia bili ya chipsi kuku
2026-11-19 17:24:07
0
amilikhaniii
$KHANI 🎧🎮 :
kwenye kikao anakaaga mbele kabisa
2026-11-19 17:58:09
0
k_berry28
K BERRY🍁 :
We alafu nisikimbie mm
2026-11-18 16:44:36
0
To see more videos from user @muhangary, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About