@kakawataifa: @Mwanachuo🎓 That couple make me happy for real, broh got a woman ❤️‍🩹💯💯

kakawataifa💔
kakawataifa💔
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 20:46:58 GMT
131106
9132
631
600

Music

Download

Comments

blessed_1311
Senior :
wangu nikimwita beiiiib anajibu wozaaaaaa🥹
2026-11-18 05:10:16
319
its_forgen
Forgen :
Haya maneno siyo mageni
2026-11-17 21:13:52
135
r.introvert41
Mr.introvert :
kuanzia kesho kunitoa kanteen labda serikali iingilie kati🥲🥲 ni mm na maji yangu ya mia2 nimsubiri wa ubani
2026-11-17 20:59:55
160
thisiselilontz
Shop with Mama Elon 🤍🦋 :
Mimi kila nikijaribu napata wa hivi
2026-11-18 08:06:50
8
swayslayer7
bro swaiehhh😁😁 :
me nimemwambia demu mambo NIKAAMBIWA KOMAAAA!!😔🤣
2026-11-17 21:31:48
84
gbofa17
GB OFA :
ifm hihii ambayo Kila Demu anamtu au Kuna nyingne 😂😂😂😂
2026-11-17 21:29:30
61
geeroisly
gee roisly🦋❤️ :
Kama me kijora nirudishen tandika😂😂
2026-11-18 05:18:09
31
brand_swaggs
☘️Brand_swaggs☘️ :
kesho nitakuwa muhudumu pale canteen, wadada wote mnakaribishwa😅😅😅
2026-11-18 03:14:10
17
samsonwilliumgmal
Sam sam🇹🇿🇰🇪 :
uyo jamaa muganga wake cyo muwongo[Tears of joy]
2026-11-18 12:16:37
0
eddyon
kelvin :
sisi wengine tunakutana kanisani lakini tunapigwa matukio ila hawaa🔥
2026-11-17 20:51:00
18
carah572
Carah Lavien❤️ :
ni canteen iyo iyo ifm au Kuna nyingine 😂😂😂
2026-11-18 05:54:29
14
eliudi.benjamini
𝕆𝕗𝕗𝕚𝕔𝕚𝕒𝕝 𝔼𝕝𝕚𝕚 :
NIKIPATA WA KUNIAMBIA HIVI NTALIA SANA😂😂
2026-11-17 22:01:03
8
bbln.gal
Ellie.molly :
cheki huyu new comer bila uniform ila wanapendana bhna
2026-11-17 22:00:08
5
fondojr32
Elib@rick ✍️✍️ :
few moment later😂
2026-11-18 09:43:08
0
gonging28
luna :
sitaki kuamini mpaka leo hamjazoe kipaji chetu
2026-11-17 21:26:44
6
nelviny24
kanywanyi kaka. :
hahaha daaah respect
2026-11-18 14:17:57
0
shesdollars
Sarah 🥶 😗 :
😂😂good what haya
2026-11-18 07:07:25
0
crownjuma
jay_Tae :
hahaha so sad 😭
2026-11-18 11:45:29
0
evinnylevina.octa
Evinny💕❤️🌹 :
utangoja sana kuambiwa hvyo 😂😂😂
2026-11-18 20:38:43
0
ruthcutembwambo
R🥰 :
Na me wangu tulikutana Canteen 2023.....nipo nae Hadi Leo😊🫣
2026-11-18 20:27:20
0
naice.marandu7
naice marandu mchaga :
Mim nikimwita babe Ananijibu ongea nakusikia 😌😌
2026-11-18 07:48:28
3
lilyashiel
Lily Ashiel :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hemu njooo kwangu ujarbu
2026-11-18 07:36:29
0
fadhiri70
Fadhiri@ :
2026-11-18 07:32:15
1
sabivortex
Sabbyvortex Grains collection :
Mimi ata msemej ni single forever
2026-11-18 13:20:38
2
spainboy53
spain boy :
kuna wakwangu akiniita papaa namuita nambie nyangumi 🐳🐳 wangu😂😂
2026-11-18 08:29:21
0
To see more videos from user @kakawataifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About