@baharimediaznz: NASEMA WAZI MATUMIZI MABAYA YA PESA YA SERIKALI YATAKUTOA KWENYE HILO ENEO - MHE HEMED —> https://youtu.be/_4EfCzl-J1s -.-.-.- Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amewasisitiza Viongozi wa Serikali kuimarisha usimamizi wa matumizi ya fedha za umma kwa kuhakikisha fedha hizo zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vingozi na watendaji wa taasisi zilizomo katika Wilaya ya Mkoani ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za Wananchi katika wa Mkoani.

Bahari Media Zanzibar
Bahari Media Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 02:56:00 GMT
10450
303
36
57

Music

Download

Comments

nadrasalim876
naa :
Ajabu mnayajuwa lakini hakuna hatua
2026-11-18 08:20:52
1
mamaiyya5
mamaiyyah :
wanatukopaaaaaaaaaaaaa tucbr OC
2026-11-18 06:02:32
0
sweetmay007
user5118431486541 :
Kweli Ilo
2026-11-18 08:40:09
0
aaani.nassir51
@ :
tuonewe huruma jamani kampuni zinatumiza vibaya miezi 5 hatulipwi jamn[Teary eyed]
2026-11-18 07:15:04
1
ramadhanalimmanga
Mmanga Mmanga :
Hili tatizo lipo kwenye sekta zote kilio kikubwa wakubwa kujiona wao ndio wanahaki
2026-11-18 05:11:24
1
user29435442116548
+-----------+=+×÷@ :
Story nying tu nyiny tushawazoea
2026-11-18 06:55:04
1
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
km nyumba ya Makamo inatengew pesa nyingi huo sio ubadhirifu
2026-11-18 05:13:24
1
abdullatifu00
abdul latifu :
kumbe mnajua kama hatupewi poshoo [Tears of joy]
2026-11-18 06:17:40
1
waja.wema5
Shingwi hoody :
Asante sana leo umewapata kweli
2026-11-18 04:29:07
1
metka653
MeTkA :
naam baba
2026-11-18 13:02:06
0
wambi.05
wambi 05 :
Muheshimiwa fungua mlango tukupe madudu wanatuzulumu mabosi
2026-11-18 12:12:56
0
karua747
Karua :
NA ZILE 5 point ngapi sijui ilikuaje
2026-11-18 09:23:13
0
majidzahor
majidzahor :
Lakin hakuna hatua zinazochuukuliwa why?
2026-11-18 08:04:05
0
rukiasuleiman261
rukia suleiman :
wakubwa tuu kweli ilo wengine hatujawahi kwenda hata kwenye mafunzo
2026-11-18 10:58:17
0
haile_.maryam
haile_.maryam :
kama mtasimamia wizi ,n kusaidia watu , kidogio mnaweza kuelekea
2026-11-18 08:33:02
0
zadab03
zadab03 :
siasa tu hiyo
2026-11-18 09:21:18
0
rahma_kha
rahma :
kwa kweli e
2026-11-18 09:58:13
0
waja.wema5
Shingwi hoody :
kweli unachokizungumza ni ukweli mtupu tena umechelewa kuwajua
2026-11-18 04:28:15
0
khalil.haji6
Khalil Haji :
Kila anaekuja anasema hayo hayo. Alikuja Waziri wa Fedha, Omar Yussuf Mzee akayazungumza kwa ukali na akasema Mpaka Pemba mnakwenda wakubwa. Naona ndo yy wa kwanza kusafiri hizo za Pemba kuliko wenzake. Alikuja Waziri wa Fedha, Khalid ndo hayo hayo.
2026-11-18 05:45:59
0
khalil.haji6
Khalil Haji :
Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee kila siku aliyasema kuhusu mafuta na mengine kama hayo na mpaka leo yanaendelea. Kuhusu maneno hayo tushayazoeya. Wala Rais wetu hahusiki na hayo basi tu.
2026-11-18 05:50:00
0
da.huu00
Da huu :
Afadhali mkombozi umeona Barakallahu
2026-11-18 14:11:38
0
lil_00786
Lil_007 :
musituchoshe bana mwaka wa 60 huu maji tu mpk Leo ni ya mgao😏
2026-11-18 06:35:54
0
riffat.win
Riffat Win :
mbona bado yapooooo na yamezidi haswaaaaaaa[Teary eyed]
2026-11-18 06:25:15
0
cutyfarasi
cutyfarasi :
Muheshimiwa maneno yafanane na vitendo.Anzeni na mawaziri pamoja na makatibu wao
2026-11-18 06:52:36
0
user3703036985666
user3703036985666 :
mt
2026-11-18 09:44:42
0
To see more videos from user @baharimediaznz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About