@dr_maggi: #cejourlà

📍Maggie 🇹🇿
📍Maggie 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: CA
Wednesday 18 November 2026 04:18:28 GMT
82377
5671
318
255

Music

Download

Comments

unice2193
Unice Xo 🍓 :
2006 nimeolewa nina mtoto🤣
2026-11-18 07:04:14
145
ms..dark.nyx
Ms. Dark Nyx :
2005 wenzangu tumesalitiana jmn 😫😫😫
2026-11-18 08:36:11
80
sharmilah35
Sharmila ♥️ :
Me wa 2004 na nmeolewa mwaka jana na now nipo na babe boy na mume wangu anaenjoy vp 😂😂😂
2026-11-18 10:37:44
54
elnaike.ernest
Elnaike Ernest :
2005 mbali nina mtoto wa dada yangu 2006 ana watoto wa 3
2026-11-18 06:00:05
94
glamour25me
glamour💥🍷 :
2005 na nimeolewa mwaka tatu now 😂😂
2026-11-18 09:15:43
27
unique.babe104
Unique babe🇹🇿🇹🇿 :
me 2004 naogopa ata kuongea na mwanaume na kumwitq my love 😂😂
2026-11-18 09:08:31
79
miss.bigger
Abigail🌹 :
Nina ushuhuda 2005 mwenzen nawaambia tulien
2026-11-18 05:51:21
56
user7537311572365ombay
bether :
wahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] waambiee haoo
2026-11-18 13:11:06
0
tkitok456
Seyran Yanga :
Naendaa nataka kuona 😂😂😂😂
2026-11-18 06:55:05
16
leeflower15tz
Cancer flowers 🌺 ♋️ :
Jmn mbon mimi2005 sina mawazo ya ndoa😩😩😂😂😂🙌
2026-11-18 12:26:25
10
tabithacharles2
tabithacharles :
2008 na nimeolewa hizo shobo sina 😂
2026-11-18 07:27:32
15
userbabygirllove4
babegirl❤️🤑 :
Dada 2005 mkubwa anza kuanzia 2010
2026-11-18 07:13:26
25
tatuualii
Miss muuh :
Kuna mm wa 2003 naonekan nmeharakisha mambo😂😂😂😂😂
2026-11-18 11:44:10
5
yurayh6
yurayh❤️ :
2005 nimeolewa ila kuna mda nawataman ambao hawajaolewa😂😂😂
2026-11-18 14:06:09
6
prettyprincesssssl
princessss :
mi wa 2006 nimechoka nataka nirudi kw maaa😫😫😫
2026-11-18 08:59:02
5
himellisa2
Melissa2📖 :
msiniogopeshe nikaghairi kuingia huko🥹🥹🤷‍♀️🤷‍♀️
2026-11-18 07:13:24
12
lyner6608
Miss lyner🎀💕 :
😂😂😂😂😂Tunakoelekea kuanzia 2030 kutakua Amna ndoa wallah
2026-11-18 08:40:37
11
liliannjau37gmail.com
Jovitha😘😘 :
kwa ndoa naenda nataka nikajioneee me mwenyewe sitaki kushauriwa kbc😅😅😅
2026-11-18 10:09:18
6
itc.whitney33
whitney🦋 :
Msitutishe
2026-11-18 05:15:50
9
naahrlie
naahrlie :
2004 tumepoa ndoa zetu masha Allah 😌
2026-11-18 11:34:21
3
26blackie_
❤️‍🔥☆fïn̈ě_ĝìŕĺ☆ :
sasa mnawahi nn jamaaan 🤣🤣🤣
2026-11-18 15:13:48
1
stylesoundbites8
sTyleSoundBiTes✨️ :
2000 na Bado nipo kwetu 😂
2026-11-18 13:06:31
5
bibah1822
bibah :
😂😂😂😂 me ndo sitaki kufanywa usiku wa manane
2026-11-18 16:52:15
1
lusianyali
Lusia Nyali :
2003 nmeolewa lkn najuta
2026-11-18 09:30:53
4
heriethafyaclinic
Heriath Alex :
tupo paleeeeee🤣🤣🤣🤣
2026-11-18 13:28:36
2
To see more videos from user @dr_maggi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About