@juliethlema01: WATANZANIA WANATAKA MAENDELEO, SI VITA VYA VYAMA! Rais Samia amefungua mlango wa maridhiano. Vyama vyote viweke tofauti pembeni, viungane kulinda amani, umoja na mustakabali wa Tanzania. Taifa kwanza, siasa baadaye! 🇹🇿 #CHADEMA #creatorsearchinsights

Juliath lema
Juliath lema
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 04:21:02 GMT
21745
508
165
65

Music

Download

Comments

toneskills
Tone skills :
kwanini uliruhusu watu wapigwe risasi
2026-11-18 18:34:37
8
user3852971019163
user3852971019163 :
Namuona mzee wangu rungwe hapo amekuja kuokota [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 09:58:00
20
naommie27
Naommie :
Hapo wote ni Ccm hakuna Chama cha upinzani hapo ni uhuni tuuu!!
2026-11-18 13:03:34
7
md556304
MD :
Any issue?
2026-11-18 10:59:28
1
user3186965812316
user3186965812316 :
Waliokubaliana kuendelea na Uchaguz tar29 leo wameingia kwenye kikao cha Maridhiano🤣🤣
2026-11-18 10:13:13
7
itochoo
itochoo :
ccm mlikataa malidhiano kabla ya uchaguzi na chadema wamegoma malidhiano baada ya uchaguzi chuma kwa chuma cheche
2026-11-18 07:38:21
21
_taipan_17
TᗩIᑭᗩᑎ :
Bora tuumie wote kuliko waumie wachache ama namna gani?
2026-11-18 15:48:49
6
jackson.mathias33
jackson mathias :
CCM ndo chanzo kwa tamaa za viongozi
2026-11-18 13:00:33
7
user7907421881251
user7907421881251 :
tuumie marangapi wakati ndugu zetu wamekufa
2026-11-18 12:00:32
9
bensontemu609
Benson Temu :
tayari wewe na ccm umeshaumiza nchi yetu kwa kiwango kikubwa
2026-11-19 06:16:39
4
johnson_tz
Arajick tz :
jusa mpaka ametabasamu hapo hakuna vyama vya siasa hawa wana agenda yao watanganyika tumetulia tu tunawaangalia
2026-11-18 11:49:57
8
fadhiliausimbwa65
fizooo :
mbona Kam wote ccm tyuu
2026-11-18 12:09:10
5
paulo.mayenga2
Paulo Mayenga :
unataka tuumie mara gapi huku tuko kwenye maumivu
2026-11-18 07:19:34
5
user7935350041552
user7935350041552 :
Hawa wanadhani CHADEMA ndo wanataka Katiba mpya. Wakati wananchi wenyewe ndo wanataka Katiba mpya sio Chadema tena peke yao. Huo ndio ukweli
2026-11-18 15:22:37
1
user10045441808158
Dafur Dakar :
kwanza ni kama tulishaumia tu
2026-11-18 17:19:11
2
samson.joel1
Samson Joel :
msingi ulijengwa kwa kupuuza haki na sauti ya wananchi na serikali kukosa uwajibikaji.
2026-11-19 17:00:57
1
smigo.2026
Massawe :
vita ni vita murha SIMPLE
2026-11-18 13:10:37
2
lunanilo
Lunanilo :
Tatizo ni kukataa katiba mpya kwa sababu ya kung’ang’ania madaraka CCM kwa sababu ya kuogopa uchaguzi huru na wa haki ndiyo msingi wa tatizo.
2026-11-18 16:26:39
3
rajabu.msoke
rajab :
inamaana samia wako wawili!
2026-11-18 18:05:50
1
gordiusmasillago
gordiusmasillago :
chadema haikushiriki uchaguzi lakini mnalazimisha maridhiano 🤣🤣🤣
2026-11-18 13:42:05
2
anthonychaula2
ANTHONY CHAULA :
Rais watu wanatekwa na kuuwawa inanifanya nichukie nchi yangu natamani nchi ile ya zamani yenye utu na haki
2026-11-18 16:29:25
4
brytony.revocatus
Brytony Revocatusy :
Eti maridhiano😂😂😂,,chanzo ni uongozi wako mbovu ndo hatutaki
2026-11-18 13:16:22
2
shashikant.prabhu
james :
wewe ulikataa maridhiamo kabla ya uchaguzi maridhiamo bila vyama vya siasa lazima zishirikishwe😂
2026-11-18 09:56:18
4
allennakomolwa161
Allen Nakomolwa :
umetuharibia tanganyika yetu
2026-11-18 13:23:25
1
kelvinmakundi81
Vinkel :
Watu waliopingana na Mungu waliumia sana
2026-11-18 14:28:03
1
To see more videos from user @juliethlema01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About