hyo inaitwa komatsu dump truck series ya 980. Kwa Tanzania komatsu siries hii hajaingiza au haijafika bongo kutokana na sheria yetu ya uchimbaji hairuhusu ila zipo series ya komatsu ndogo zake ambazo ni dump truck 785. katika mgodi wa makaa ya mawe ruvuma coal na kampuni ya uchimbaji ya taifa mining wanazo mdogo zake Tena zinazopatikana mwadui na sota mining nyanzaga tofauti na hapo komatsu kaingiza mashine hzo Tena aina ya komatsu articulate dump trucks hzo ndo zipo sehemu nyingi kam chunya Shanta kwenye makampun ya sub contract kama akshal na Shanta singida na makampun kma ashariq na kasco pia wanazo hzo hizo articulate za komatsu nyingi saaana sorry kama nimechamba saaana kaka 🙏
2026-11-18 23:33:58
13
Henry Nelson jr :
KOMATSU RDT
RIGID DUMP TRUCK
2026-11-18 14:35:58
2
sam Trucker Tz.. :
A called a Moving House machine..(Dumper).
2026-11-19 05:14:41
0
Joslin :
Articulated Dumper
2026-11-19 06:08:51
0
Denzel 🦺 :
Hili ni gari kubwa la kubebea mawe ya madini (Mining Haul Truck) aina ya Komatsu 980E.
Kubeba mawe yenye dhahabu kutoka kwenye shimo la mgodi.
Kusafirisha mawe kwenda kwenye crusher (mashine ya kusaga mawe).
Kubeba udongo na miamba isiyo na madini kwenda eneo la kutupia.
Kufanya kazi za usafirishaji wa tani nyingi kwa safari moja
2026-11-18 18:37:29
3
Sedrick Miyambo kalumba :
ucrity
2026-11-19 16:39:17
0
Shedrack Lukanga :
ili linabeba nyumba
2026-11-19 15:04:48
0
𝐍𝐨𝐞𝐥𝐲... :
Mimi ninavojua iyo chuma Haina dereva yani ni roboti tu ata ukiangalia vizuri ndani utaona dereva hayupo
2026-11-18 20:30:56
2
NYONI KHAN :
mbn halina mtu ndan
2026-11-19 06:34:50
0
mista play boy tz :
IYO NI KOMATSU 980e-5series
2026-11-18 18:57:33
1
Mjomba Sii :
hiyo nidampa au lodar
2026-11-18 19:56:30
2
dizzo bobyline :
komatsu truck
2026-11-18 20:25:49
1
lissu Davoo🦺 :
Boda boda
2026-11-18 13:16:24
0
we love each other :
iyo
2026-11-18 16:11:22
0
Ram nest :
dampa hilo
2026-11-18 16:45:58
0
majita :
tuambie inaitwaje iyo chuma
2026-11-18 18:04:57
0
shaulimbele mbawala :
dapa volvo
2026-11-18 18:30:38
0
Pula Harun :
guta
2026-11-18 12:06:48
0
sadiki :
astra
2026-11-18 14:52:39
0
JO :
nikitaka kujifunza hiyo mashine nifanyeje
2026-11-18 18:31:56
0
Zacharia Samson :
vitu vyangu hivyo
2026-11-18 15:27:45
0
Fura Giabox Rony :
iyo inaitwa terex watu tunabondatu izo
2026-11-18 15:47:36
0
Mujitaba Mickidady :
dampa hilo
2026-11-18 14:35:29
0
ED PRINTER SOLUTION :
Hiyo nyumba inayotembea Afanaleki 😅
2026-11-18 15:15:26
0
Ramadhan Maulid :
big track) ndo Ina faamika ivyo
2026-11-18 14:36:35
0
To see more videos from user @ushauri.wa.fursa.z, please go to the Tikwm
homepage.