@sugarmastory: Ndungu anaeza kukurudisha nyuma kwa kukukatisha tamaa na bado ukifanikiwa atataka msaada kwako!#sugarmastory#kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyyypppppppppppppp

SUGAR MASTORY
SUGAR MASTORY
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 18 November 2026 05:24:18 GMT
70078
4009
471
867

Music

Download

Comments

real_najm.a
♡𝓝𝓪𝓳𝓶𝓪𝓪♡ :
blood doesn't make family but love does
2026-11-18 06:27:13
47
amalsonko1mrskiganjo
Amälsonko.001(Mrs Kiganjo) :
on point 👉 ndugu bogas
2026-11-18 08:09:37
7
mummysuu4
shamylove :
jamani jamani jamani kama ayajakukuta uwezi ukaelewa
2026-11-18 07:55:06
81
sizb4
One Woman Army💯👌 :
Ndio maana me nakaa life yangu ya kihuni..... Sina ndugu wala rafiki 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-11-18 06:01:21
27
danielmbugush
DARION :
kama hayajakupata huwezi elewa hii. Yani umeongea ukweli kabisa💯💯
2026-11-18 13:07:52
1
brownog27
Chris :
Dada uko sahihi Dada angu tumbo moja kanitenda Vibaya sana
2026-11-18 09:14:02
16
sweetmabibi001
sweetmabibi001 :
niukweli dada tena wanatuumiza vibaya sana
2026-11-18 06:46:47
12
kadur3341
NURKEY :
kweli lkn kukata undugu utapata laana
2026-11-18 06:06:46
11
johaibrahim590
Joha Ibrahim :
is true dada
2026-11-18 14:45:35
0
caitlyne80
Caitlyne ♥️✨ :
ndugu wa Sasa kichefu chefu tu me nikajuwa ni Mimi tu sitaji ndugu kumbe wapo wengi
2026-11-18 13:10:51
1
mahame2.com_tz
Ibrahim :
Correct
2026-11-18 14:49:15
0
totsy6042
Totsy :
Haki damu si nzito vile tulivyofunzwa Ndungu ni hatari zaidi 😊
2026-11-18 08:19:48
5
nafisamariam0
NEYMARJR🤫 :
wallahi u spoke the truth
2026-11-18 11:03:33
1
truecounsellor1
true councillor :
very true🥰
2026-11-18 14:29:57
0
mamuusuleysh
Mamuu Suleysh :
kikulacho kinguoni kwako sio☺️
2026-11-18 06:41:35
6
salmaaaaaaahh
salma.k.k :
kunywa soda kubwa
2026-11-18 06:27:33
6
user15609538658
rayan :
so hizi ni trending iko everywhere I thought mine alone
2026-11-18 09:08:43
0
she_is_salma1
🤍salma🤍 :
shuga mastori that the truth ☺️
2026-11-18 10:09:04
0
user291799137385
FayKali🦁 :
Aki ni kweli wacha ndugu ata mama yko mzazi
2026-11-18 13:53:03
1
beach.boys48
Connector :
🥰What religion is she?🤲
2026-11-18 13:33:31
0
1234fzt
Mrs. Fadhil :
Dada Umeongea point sana ila kama mtu hajamkuta hawezi kukuelewa😭😭😭😭 niliyowahi kutendwa na ndugu zangu ALLAH ndo atalipa
2026-11-18 12:05:02
0
oruley
J ley🇰🇪 :
Mbona umeongea ukweli dadangu😭mimi hadi wa leo hii nasengenywa na ndugu zangu kwa mume wangu tiliyeachana,yaani all my secrets kinyumbani wamemsimulia mume wangu,na uongo wanaomwambia me Ex yanaumiza moyo sana💔😭
2026-11-18 12:27:13
3
allyaah51
Allyaah🥰👌 :
Niongee kwa kusimama au kwa kukaa😭😭😭🥹🥹🥹
2026-11-18 09:30:10
0
user530595449374
𝚜𝚊𝚍𝚢🥰 :
Umeongee dada mim limenikutaa mpaka sasaa nipo mwenyewe mwenyew
2026-11-18 08:35:40
4
ashura_korosho_point
Ashura Korosho Point :
yan kama umeniongelea mim t dada hayo mambo mim ndio changa moto yng kubwa kwenye maisha yangu😭😭😭
2026-11-18 10:15:19
2
To see more videos from user @sugarmastory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About