@jvckieseven: mwaka 2007 kundi la Nako 2 NAKO waliachia hili jiwe lao safi kabisa la kuitwa NDO ZETU, kundi hili liliundwa na wasanii LORD EYS,G NAKO, BOU NAKO & IBRA DA HUSTLER na washkaji wengine kama FIDO VATO ambaye anaonekana hapo kwenye video kama producer, jiwe lilitayarishwa na producer CHIZAN BRAIN 🔥
Baba hiyo ngoma si yamwaka wambele achana hai wasanii wasahv wana ruka tuka na bit lakn hakuna alie weza kulipa hizo ngoma za mabrother, aloo ma brother wapewe respect yao bana, wane iwakilisha game ya hip hop ndani na nnje ya mipaka ya Tanzania 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
2026-11-18 16:55:06
5
raz agool 247 666 :
huyu ndo alikua king easy sio huyu waki wa cku izi
2026-11-18 08:17:53
9
Nanguri Og :
oya hii verse ya G nako nilikuwa sijaisikiliza kwa makini miaka yote leo ndio nimegundua G alichana kuliko wote humu 🔥
2026-11-18 09:56:11
5
Dear mama computers💻🧑💻 :
bila bring tuna shine
2026-11-18 17:16:42
1
oldschooltrueschool :
The fact that Hii ngoma ilikua haijafanyiwa mixing chizan noma
2026-11-20 16:15:24
1
oppert :
Warawara on this one 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-19 16:46:49
1
vaa kinyamwezi :
ndomana maproducer huwa siwapi bigup sana coz Ngoma kali kama hii kapiga producer ambae Hana jina
2026-11-20 19:30:04
0
Patrick motorsTz :
Uwiii
2026-11-18 21:42:55
1
officialjoedzy :
uwiiiiiiii
2026-11-19 14:34:17
1
ikoma transport agency :
@fidovato
2026-11-19 19:39:09
1
Ayam P a.k.a 777⭐ :
Ayam P
2026-11-20 06:02:54
1
kalianja Kasolo :
aliefikiria kuniua namuuaaa sianyi nn wala NN aise lod
2026-11-19 06:08:20
1
Yohny Nicky tz :
iyo ndo ilikuwa n2n sasa
2026-11-18 18:23:08
1
elly :
Ingoma ni moto paka nw sijaona ngoma ya hip-hop kali kama hi ma brother walikinukisha kinouma 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-18 22:27:34
1
Ollachuga OG :
Masterpiece
2026-11-19 14:44:38
0
JamesTZA🇹🇿 :
moshono secondary 2007
2026-11-18 14:24:07
3
Biz :
Hii ilikua mwaka 2006
2026-11-18 20:07:14
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.