@sindano_show:

Sindano_Show
Sindano_Show
Open In TikTok:
Region: VN
Wednesday 18 November 2026 06:07:47 GMT
21647
1705
109
48

Music

Download

Comments

nelsonkimaro57
Star :
Hata simu kama Samsung zinatoka VIETNAM hasa Samsung Za Viwango vya Marekani
2026-11-18 13:25:20
7
alfany180
Alfany180 :
niliwahi kuwa na Air force ya Vietnam ilikua ngumu sana
2026-11-18 06:53:57
23
hassek678
Hassek67 :
Halotel ni ya wa Vietnam na ghali [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 16:36:18
0
quicklanguageacademy
MAWELE :
Je kuna advantage yoyote ile ikiwa unajua kuongea Vietnamese? 🤔
2026-11-19 05:11:58
1
ones_brian
Ones_Brian :
vietnam ni nch ya viwanda sana hata Samsung piah viwanda vyao vipo hapo, fashion brand, electronics devices cosmetics 🔥🔥
2026-11-18 06:15:58
19
mtambuzi
Mtambuzi :
Hapa Dar es Salaam kuna eneo pale Ubungo linaitwa EPZA kuna viwanda pale vinatengeneza nguo brand kubwa haziuzwi nchini. wanatengeneza na zinasafirishwa moja kwa moja kupekekwa nje. hutaziona Kariakoo....
2026-11-18 07:33:27
7
b_makenzi..saint
B..m a k e n z i🧠🌏⛎ :
hii ndio content yako ya kwnz mm kuipenda
2026-11-18 16:25:03
3
kimatire
KIM :
mm nauza nguo nimeenda vietnum hochmancity,,,ni kweli nguo ni rahisi kwa bei na quality shida ni namna ya kusafirisha mzigo kufika nyumbani,,,hakuna cargo za tanzania
2026-11-18 14:06:26
3
baraka.magoyelo
Mr safari :
Vietnam na Indonesia furusa zipo xn
2026-11-18 19:55:20
1
davidmwagama
David Mwagama :
bei
2026-11-19 05:14:44
0
emmanuel_the_sailor
masanja_shining_point :
Kuna cargo agent anayetoka Vietnam hadi Dar kwa meli?
2026-11-18 19:39:15
1
maxwelmkandawire2
maxwelmkandawire :
production ya viwandani Vietnam nichini sana,uzalishaji wa bidhaa huitaji gharama kubwa
2026-11-18 07:57:26
5
ndotoyangu_t.a
NdotoyanguTA :
Kwenye usafiri kukoje
2026-11-18 20:32:00
1
marykisokafuniture
Mary-kisoka90🌹 :
Ndio maana mm nienda kwenye mtumba wa vijana wangu nanunua nguo za Vietnam na palestina 😂
2026-11-19 06:22:06
1
mangimkuu6
mangi mkuu :
kweli kakaa nina raba ya huko ni kiwango
2026-11-19 05:20:04
0
rodgers_ceo
rodgermilla :
Pako vzr sana, ninachowaza huko ni shiping agent kuja Tz sjui utaratibu upoje lkn nahis kama kutakuwa na shiping agent ya moja kwa moja kutoka vietnam kuja Tz ni safi saaana
2026-11-18 11:02:36
1
user1140526193750
user1140526193750 :
Vietnam is leading textile industries duniani
2026-11-18 06:31:56
4
nikoambaeniko
niko ambae niko :
good
2026-11-19 05:02:32
1
mtambuzi
Mtambuzi :
Pia kule Morogoro kuna Kiwanda kinachotengeneza jezi za timu za ligi kubwa Ulaya na haziuzwi hapa. zinapelekwa moja kwa moja huko....
2026-11-18 11:00:00
0
tariqgotkeyz
Ricky Tariq🦷 :
airforce ya Vietnam ni bora kuliko za china
2026-11-18 09:56:04
4
emmanuel.edward75
Emmanuel Edward :
Kweli kabisa yani .
2026-11-18 21:08:28
1
user691482
mkemi :
lugha baba
2026-11-19 03:02:16
1
tifanm4
Tifanny :
true kabisa from Vietnam
2026-11-18 09:00:35
3
255obito
Obitoo💥 :
Vp kuhusu gharama ya ndege kwenda na kurudi inaghalim Tsh ngapi?
2026-11-18 12:25:39
2
allenardo
janey :
kweli kabsa nishanunua jins Aisee nilivaa mpka miaka 10 ipo had sasa
2026-11-18 07:41:22
4
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About