ni kweli kabisa nakumbuka nilienda gereza la segerea kunsalimia mjomba angu siku hiyo nilimkuta yupo vzur kabsa ila baada ya kuniuliza Hilo swali na kumjibu...see more
2026-11-18 07:58:16
4043
Benjamin :
wafungwa mara nyingi hupoteza hesabu ya siku na tarehe kwa sababu ya kukaa ndani kwa muda mrefu bila kalenda au mwanga wa kutosha wa dunia ya nje. ukimtajia tarehe au siku halisi, unaweza kumfanya achanganyikiwe au kupata msongo wa mawazo akianza kuhesabu siku nyingi alizobakiwa nazo au alizopoteza gerezani, ndio maana inasemekana "umeisha" (yaani umemuumiza kichwa au umempa wakati mgumu)
2026-11-18 12:09:50
1419
ngaoboyTz :
Tulio bonyeza see more, zaidi ya mara tatu na hatujagundua kuwa tumepigwa , mpaka tukasoma kwa waliogundua tujuane tafadhari,najua sipo pekeangu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 21:26:40
1201
official_Tact boy 💫必须成功 :
najua aiwausu lkn natafta mlembo wa kuoa
2026-11-18 09:24:59
65
CHIMBO LA BEI RAHISI♋️🔥 :
Natafuta mchumba😥
2026-11-18 20:36:13
7
SAINT👑 :
inauma sana mtu unampa umuhimu kwenye maisha yako ila yeye hajali, imagine mama wa mihogo hajafungua leo😢😭
2026-11-18 12:07:02
102
Sam sk :
Skuizi usingizi umekua kama kutafuta ajira
2026-11-18 21:15:26
150
MAPAMBO OG ✅ :
Kuna siku niligombana na mganga Ile tabia ya kujifanya utawaekea pale sadaka yao kweny kapu m nikajifanya naeka kumbe nikailudisha mfukon muda si mlefu mganga anaenda kuchukuwa aion akaniuliza IV sadaka yao uliwaekea nikamjibu ndio akasema mbna siion nikamjibu si ulisema sadaka yao wamechukuwa wenyewe ugomv ulianzia hapo
2026-11-18 08:46:15
200
Mirna _scrunchie :
Mnanikera na hiyo see more yenu 🤣🤣
2026-11-18 08:51:52
337
kefasoni Seth :
wote mnaotuma mesege ya seemore halafu hatuoni chochote nyie ni kina SEBAA[Tears of joy]
2026-11-18 18:25:28
132
LINER🌸 :
ni kweli kabisa nakumbuka nilienda gereza la segerea kunsalimia mjomba angu siku hiyo nilimkuta yupo vzur kabsa ila baada ya kuniuliza Hilo swali na kumjibu...see more
2026-11-18 13:41:56
804
lizz589 :
alafu hii tabia mlio ianzisha ya see more mjue mnanitia hasira sana😏😂
2026-11-18 10:27:31
1164
missbawse levina :
Mm nimekazana kubonyeza see more lakn sasa 😂😂😂kumbe michezo
2026-11-18 10:20:57
125
🦋 Naylah 🦋 :
hivi mnatuonaje ety amjui kama wengin furaha yet ipo comment section nyinyi baada ya kuandika maelezo kamili mnaandika see more alaf unabonyeza hakuna k2😏
2026-11-18 09:23:50
1122
james :
...see more
2026-11-22 04:02:31
0
mrs erick🙏❤️🤍 :
jamn natafta mkka atakaye nifanya ni sahau maumivu ya kuachana na mume wangu ila awe na miaka 22 mpaka 25 nipo serious please au ata mdada anaye weza kunipa ushaur namkaaribsha napitia magumu msinichambe please
2026-11-18 22:01:14
73
Dinna💃💃 :
Nilivo bize kubofya see more daah
2026-11-18 10:50:32
33
Gregor.. :
mbona .......see more
2026-11-18 20:42:27
0
LIGHT outfit⭐️ :
kweli nakumbuka kuna ndugu ya wifi yangu alifungwa tukaenda basi yule kaka akaniuliza kwan leo tarehe ngapi nikajichanganya kujibu bhan weeh.....see more
2026-11-18 08:05:45
129
Nyota Cleaver :
Nimebomyeza See More mala 19 😂😂
2026-11-18 20:10:40
11
zizah :
as if hawajui tarehe? mnawachukuliaje kwan wakat huko kunaa TV huwa wanaangalia taarifa za habari. mnadhan hela n jahanamu
2026-11-18 08:23:57
174
Segele Massawe :
ilo swala ni kweli mwaka 2007 nilienda magereza kumwangali mjomba aliniuliza swali kama ilo baada ya kumjibu nilimwona akisikitika nikamuuliza nn akasema kwa kipindi nilichokaa gerzani nilidhan bado kama miezi minane kutoka kumbe bado Miaka mitatu mmh ila sawa bc baada ya mm kuondoka cku ya 4 nikaambiwa alijaribu kutoroka wamemkamata nikaja kukamatwa mm kwamba ndo nilienda kumshwaishi nikawekwa ndani wiki mbili mbele akakutwa amejiua [Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-18 11:03:14
57
MR LOYALTY 🇹🇿🇹🇿 :
Lengo kubwa ni kumlinda mfungwa dhidi ya mzigo mkubwa wa kisaikolojia unaotokana na kufuatilia muda kwa karibu sana yani kulinda saikolojia ya afya ya akili na kutomkatisha tamaa
2026-11-18 11:40:31
42
Dada's daughter ❤️ :
alafu nyie wa ,,,see more tuheshimiane 🥺🥺🥺🥺
2026-11-18 10:10:36
9
Sam master 1 :
kweli hata mm nakumbuka ilichinifanya kwakweli ni kibaya sana yan mtu kakuuliza swali leo tarehe ngani mm kwakua ni msomi na nnaelimu yangu ya juu najua siku tarehe saa na dakika nikajitutumua mtoto wa watu nikamjibu nikamwambia leo ni tarehe flani kilichonikuta yan kilichonikuta msomaji huwezi amini yan kilichonikuta nikikubwa mno sitokujaga nisahau yan kilichonikuta ni aghaswan nahujte jibuh angdela juanikouna jshshjukk nagujadengala mangekimambi jahugisnhsk ahahahhahaha acha umbea.
2026-11-18 09:08:47
8
To see more videos from user @barcsel_apple_hub, please go to the Tikwm
homepage.