@anayce2: #fyp#viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

anayce2
anayce2
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 07:07:00 GMT
162968
10611
631
3299

Music

Download

Comments

user6776175417514
baby na🥰💓 :
tulio pitia h tujuane jmn
2026-11-18 09:36:55
480
jane131604
jane🦋🦋 :
mim nilikojoa kweny kikombe
2026-11-18 15:43:30
166
dii269679
Baby_Dii🦅 :
[Laugh approved]enz za utoto wetu
2026-11-19 21:10:07
0
bimzurii3
Cr 7🍂 :
Last born wetuuu na choo kipo ndanii daaah [Tears of joy]🙌🏽
2026-11-19 18:29:10
0
rugayujambxmkbz25
🦋❤️ :
Mie kwenye sufuria seblen tu wakati choo kipo ndani uwoga tu umeme hamna[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 19:45:56
0
user45652274511
It's chammy fah💞🔥 :
Tupo wengiiii
2026-11-18 10:52:48
6
user0736686803
Abby cuyt 💝💝 :
yaan mimi nikilala sipendi usumbufu dah😂😂😂😂
2026-11-18 13:58:14
100
ashura.msukuma
Ashura Msukuma :
Umenikumbusha mbali.
2026-11-18 07:09:32
20
user761530516271
Dayo Wa manchester :
the way we used to wake our grandparents at night Mungu awaongeze miaka mingi. they never got tired
2026-11-19 08:01:23
1
leecutey_
cute lee :
uwiiiii first born tumepitia hii😂😂
2026-11-19 11:03:30
1
baby_habibty27
_habibty 🦋🫧 :
nilimtia kofi siku iyo mbona alijua kutoka mwenyewe 😂😂😂😂
2026-11-18 14:39:41
30
user2940538073936
azrah khan :
na choo kipo umo umo chumban .... ila last born wetu bhn🤣🤣🤣
2026-11-18 18:28:11
25
shaah753
shaah 🇬🇧 ❤️ :
Me tna mdogo Ang alikua akila sana anakuamsha na ukichelewa anaanza kujambaa
2026-11-18 17:17:15
23
jaydenytuzo
Jay's mom❤️ :
nilikua namuamsha baba angu..Mungu akupumzishe salama dear dady😭
2026-11-19 12:28:28
9
happinesssaid1
HAPPINESS SAID :
kama najiona[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 16:51:20
1
queen.tz44
QUEEN 👑👑 ES💝💝 :
me aliniamsha niliinuka gafra nimetoa macho nikamwambh takuua niamshe tena uone akapiga kelele mama dada ananiua akatok chumbani nduki hadi leo haniamshi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-18 14:52:19
11
hemedabdul166
🦋🦋lovely johary🌸🌹 :
walaah nimecheka😂😂😂😂😂 mana hilo singi nitakalo kupa mkojo unakuisha ila nawapenda wadogo zang
2026-11-18 19:34:21
6
samara_smy
samara_smy :
Yan ni mateso ukute ulikua unaota umekua billionaire Alafu from no where mtu anaku amsha 😂😂😂😂
2026-11-18 16:28:02
7
johany.daniel
JOHANY DANIEL :
me nilikua namsindikiza mdogo ang kukojoa Ila na me siku nikibanwa ananiamby siuende mwenyewe unamuogopa nana😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-18 14:01:58
7
dayanaclothingstore
Dayana clothing store :
umenikumbusha mbali sana nilikuwa namtesa kaka angu mungu anisamehe na kumuambia naona mapepo wana nifata kumbe ni nguo zimetundikwa daah😁😁
2026-11-18 14:28:35
6
mgefahathi
mgefahathi :
m nlikuwa nkiamsha broh napelekwa uku naskumwa 😭😭alafu kufika choo anazima taa 😩
2026-11-19 06:59:52
8
summyhennaartist
SummyHennaArtist🇹🇿 :
2026-11-19 03:23:21
1
hamadhamiss879
liana :
yani uyo ni mim nikimuomba dad anisindikize
2026-11-18 20:34:46
0
zainabsaleh6912
Mrs~ me :
Maskini mimi nilkuw nalala chumba jiran n mom mdog wang akiniamsh nikikataa mom ananigomba siku nilomuamsha mdg wng ss anipelek choon pia mom alinigomb n kunmby namsumbua mwenzang wakat m nilkuw naumwa mguuu😭😭
2026-11-18 17:19:10
3
abuu8771
pendo :
2po wengi
2026-11-18 09:24:48
1
To see more videos from user @anayce2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About