@shakazulu.store: Dagaa Kigoma wana virutubisho muhimu vinavyosaidia ktk lishe kwa watu wote. Hawa dagaa wana wingi wa; Protini — ambayo huchangia ukuaji na utunzaji mwili na misuli Calcium - muhimu kwa afya ya mifupa na meno ✅Iron — huchangia utengenezaji wa kawaida wa damu ✅Zinc na selenium — husaidia kinga na ulinzi wa seli na pia ni nzuri sana hasa kwa wanaume Omega-3 - huchangia afya ya moyo na ubongo 1Kg_50,000/= Nusu_25,000/= Robo_12,500/= 📲+255 723 786 631📞0756999885 📍Magomeni Mapipa Kwa kuwa dagaa huliwa pamoja na mifupa yake, ni njia nzuri ya kupata protini na madini mbalimbali ndani ya mlo mmoja. Wafae watoto, vijana na watu wazima kama sehemu ya lishe yenye mchanganyiko. Usisubiri mpaka stock iishe-agiza Dagaa Kigoma wako sasa, tunauza rejareja na jumla! #DagaaKigoma #DagaaTanzania #ProteinFoodsTanzania #LisheBora