mi nahisi yesu kristo ndie baba mwenyewe au mnasemaje wenzangu?
2026-11-18 19:51:45
6
BABA GEE😇✝️ :
umenyooka Sana mtumishii mungu akubariki
2026-11-18 20:29:33
2
KING SAM⭐⭐⭐⚡🔥🗡 :
alishamjibu mtu kwamba kabla ya musa kuwako nalikuako..
2026-11-18 21:03:45
4
Hellen Fliakos :
Ameeleza kuthibitisha kwamba yeye ni Mungu:alisema aliyeniona mimi kamwona Baba maana mimi nindani ya Mungu na na Mungu yundani yangu :mimi na Baba tu umoja halelujah
2026-11-18 21:07:49
1
MAESTRO MELODY :
NIMEFURAHI MNO LEOOO🔥🔥🔥
2026-11-18 20:29:18
2
Rastaman :
KRISTO Mfalme wa wafalme! Mfalme wa AMANI.
2026-11-18 20:13:03
4
bonybeichee :
Asante mtumishi nime jifunza mengi
2026-11-18 21:26:53
1
piper_6383 :
alafu watu wanakataa yesu ni MUNGU.yesu ni mungu mia kwa mia
2026-11-18 19:54:37
2
user2242239710494 :
mashallah yesu nimungu
2026-11-18 22:08:33
0
D KANDA TZ :
Alikua kifundisha kamamwenye amri kwelikweli
2026-11-18 21:47:40
0
Zan_Perfume 🌸 :
“Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu, ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu
Aya hii Yesu aliisema baada ya kufufuka kwake, alipokutana na Maria Magdalene.
2026-11-18 22:00:52
0
chameleone3 :
sasa km walikua wana jua katoka kwa mungu si ina maana katumwa hii ya yeye kua ni mungu inatoka wapi
2026-11-18 22:20:55
0
jobe :
(baba Alima) chukuwa hiyooooo!!!!
2026-11-18 21:32:40
0
Nungwi barber shop freshcut :
Umeongea kisomi
2026-11-18 22:26:17
0
nails zanzibar Michael :
Amina kak
2026-11-18 21:45:38
0
John Billy✝️🙏 :
🙏🙏🙏Imenyooka sana
2026-11-18 19:27:25
0
user1819350303196 :
amina
2026-11-18 18:56:23
0
Hellen Fliakos :
kweli kabisa Yesu wetu ni mbabe wetu halelujah
2026-11-18 21:05:18
2
MASAU MSABI :
amina
2026-11-18 20:36:50
0
Joseph Thomas :
amina sana
2026-11-18 20:42:40
0
chometesamwel :
Amen
2026-11-18 21:30:22
0
Oscar anord :
nikweli kabisa
2026-11-18 21:15:37
0
Sikiaeli :
Utatu Mtakatifu🙏 Yesu ni Bwana 🙏
2026-11-18 22:27:11
0
Oswald Chacha :
nakupenda brother
2026-11-18 21:16:44
0
joelgikurumi :
Amen
2026-11-18 19:57:15
0
To see more videos from user @samungwegwe9, please go to the Tikwm
homepage.