innallah hi wainna ilayhi rajiuni,pumzka kwa Amani Afande wetu,watoto wa Skuli Mfenesin watakukumbuka sana,kwa kuwavusha njia na kupandisha gari,Allah akupe kauli thabit, Amina
2026-11-18 13:47:20
27
mbau :
huyu jamaaa namkumbuka sijui mitaa gani akiishi
2026-11-18 18:03:46
5
Hamad Mataya :
sasa zam yake kuuulizwa
2026-11-18 20:28:37
1
salumsulatan :
halima nikweli
2026-11-18 20:09:51
0
Laitines :
mwenyezi mungu akulaze mahala pema peponi tulikupenda ila mwenyezi mungu kakupenda zaidi
2026-11-18 16:16:02
1
✌🏾😇 :
Katika askari wako powa ni huyu jamaaaa dahh…
2026-11-19 12:26:56
1
Bamzee :
Innalillah wainnailayh rajiuun
Allah amsameh.dhambi zake
2026-11-19 09:41:16
1
Hamisi Juma :
mungu hakutqngulie hakuna hajuae ya kesho
2026-11-19 08:53:12
1
bby naa :
mungu amjalie ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia
2026-11-19 12:23:36
1
dingi cheed tz :
r i p soldier pumzika kwa amani
2026-11-18 20:01:15
2
cholo :
Bas msimpost Tena Gerard ameshatangulia mbele ya hali Allah amsamehe makosa yake
2026-11-18 19:41:07
4
Nassir Abajuny :
jerrad
2026-11-18 16:02:20
2
Ankomichi :
InnalilLah wainnaailayhi rajiun
2026-11-18 13:55:10
1
shasafood8 :
ila ametuweza jerad😢😢😢😢😢 Allah amsameh na ampe kauli thabit kawaacha watoto na unyonge wa chuo na shule jaman
2026-11-18 14:10:16
2
jafaridaudi616 :
Sisi sote ni waja kwake turejea
2026-11-18 17:36:50
1
raisamussa :
Inna lilahi wa Inna ilayhi rajiuun allahumma ghfirlahu warhamhu wa askinhu fil Janna jannatul firdaus
2026-11-18 17:02:34
1
ABDUL MAUZO :
Dah... inna lillah wainna ilayhi rajiun af Abdul mungu akupe kauli thabit tutamkumbuka kw wema wako enzi mjin adi mfenesin mungu akuondoshee adhabu ya kabri
2026-11-18 18:01:38
1
senpai MP :
2026-11-18 16:09:20
1
Salumcarrick :
Inalillahi waina ilaihi rajiun mungu akujalie safari yenye kheri
2026-11-18 17:37:53
1
Mzee wa shavu :
inna Lilah waina ilah rajiuni pumzika kwa amani boss wngu mr Liverpool 😭😭😭
2026-11-18 14:29:02
1
Martina Christopher :
mungu jilaze roho ya marehemu mahalo pema peponi.
2026-11-18 15:53:30
1
k :
mungu ampe heri baba kaila
2026-11-18 14:21:50
1
pp.celwo :
polis hawafi musitudanganye
2026-11-18 17:09:35
0
magembe :
rip
2026-11-19 13:14:24
0
muwamadijuma :
اللهم غفله
2026-11-18 13:26:15
0
To see more videos from user @halimakasonso239, please go to the Tikwm
homepage.