@petermshana_minister:

Peter Mshana
Peter Mshana
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 10:19:14 GMT
37292
4040
66
72

Music

Download

Comments

hadijamrutu241
💜💜 :
Mungu wangu nakushukuru kwaajili ya mwaka 2026 hakika umekuwa mwema kwangu ninakushukuru hakika ni mengi umefanya kwangu naomba mwakani majira kama haya utimize jambo langu Mungu wangu 2027 ikawe ya baraka kwangu
2026-11-18 15:24:26
8
jessicah.jessy2
Pretty Jessy🤍 :
God is good every time,🙏
2026-11-18 13:45:27
2
grace6532
Grace :
Habari,acha siku ya leo kwako ikawe siku ya furaha na mafanikio ,Mungu akakujalie haja ya moyo wako,.kwakua Yesu anakupenda sana na alikufa kwaajili yako mtwike yeye fadhaa zako zote usibebe matatizo yako kabisa ishi furaha na amani mpendwa.kama bado hujampokea Yesu sema maneno yafuatayo Bwana Yesu nakupenda karibu moyoni mwangu,ukawe Bwana na mwokozi pekee wa maisha yangu,nimeamini ulikufa na kufufuka kwaajili yangu unisamehe dhambi zangu zote.utakua umeshampokea Yesu.bila Yesu rafiki yangu hutaingia mbinguni usiogope kabisa huo ni ukweli.nenda kwenye makanisa yaliyo karibu ya kipentecoste uwaambie kua umempokea Yesu watakusaidia.amina.
2026-11-18 17:32:13
3
catherin896
user41424178877490 :
Ameeeeeeeen kubwa
2026-11-18 16:15:40
0
kaitesi_wety
Kaitesi wety :
Mungu awabariki
2026-11-18 18:40:32
1
eunstoreeee
Eunstore Songea &Dar :
ndimana,nimeacha zambi zote 🙄🙄😚
2026-11-18 16:42:09
1
barakamshana8
Baraka Mshana :
amenii
2026-11-18 17:37:13
1
hadijarvitenge824
MAMA B vitenge :
hakika mungu nimwema sana
2026-11-18 18:36:31
1
dainessmtenga1
Dainess Mtenga :
Amina
2026-11-19 02:41:07
0
otea.1
Otea001 :
Aminaa ubarikiwee saaaanaa mtumishii wa Mungu naomba nisaidiee wimboo huu ameimba nani
2026-11-18 21:27:39
0
user40662371856811
Annah :
amina
2026-11-18 21:00:23
0
user7606817807781
princes kieshy :
ameeeen🙏
2026-11-18 21:04:10
0
hellena.pius7
Hellena Pius :
amen 🙏🙏🙏
2026-11-18 20:58:06
0
user44819269060192
jay 45 again 🫡🫡🫡🫡 :
en
2026-11-18 20:55:48
0
gabrielyohana413
Gabriel :
AMEN
2026-11-18 21:38:57
0
george.thomass7
George Thomass :
Ameeeni🙏🙏🙏
2026-11-18 10:24:14
0
magrethsilas
Magreth Silas :
Amen
2026-11-18 20:23:41
0
user44819269060192
jay 45 again 🫡🫡🫡🫡 :
amen
2026-11-18 20:55:54
0
user716105478485
I9 m Neema joseph :
amina
2026-11-18 19:31:38
0
user2419529459257
vicent vyagusa :
Amen Amen
2026-11-18 19:18:49
0
user7845094688146
vivian mboye :
amen 🙏
2026-11-19 03:04:36
0
nailath.official3
nailath official :
2026-11-18 20:15:09
0
leamwaisaka
Ms_lee🦋❤️ :
ameen
2026-11-18 19:53:44
0
josephmzava780
Umeme Mnzava :
yesu mzuri jamani
2026-11-18 19:33:52
0
user16638369755872
Judith :
🙏🙏
2026-11-18 20:23:32
0
To see more videos from user @petermshana_minister, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About