@finishingmaster: 🔥 KITCHEN CABINET YA KISASA – FULL PACKAGE! Leo Mwalimu Mr Finishing Master 101 sina cha kusema zaidi ya kusema hii kitchen cabinet ni kali sana! 🔥 Muonekano wa kisasa wenye mchanganyiko wa rangi nyeusi (Black) na marun kwa mbali, ikiwa na finishing safi na yenye mvuto wa kipekee. Kitu kizuri zaidi ni kwamba cabinet hii imekamilika mpaka milango yake, ikiwa tayari kwa matumizi. Kwa sasa kilichobaki ni makabati ya juu tu. Huu ni ubunifu unaochanganya tiles, marumaru nondo na materials nyingine za kisasa ili kupata kitchen yenye muonekano wa kifahari na matumizi bora. Unahitaji kitchen cabinet ya aina hii kwenye nyumba yako? Usisubiri sana, tupigie simu! 📞 0659 410 501 Wasiliana na Finishing Master kwa huduma za kitchen cabinet na finishing za kisasa. FINISHING MASTER – Ubora Unaonekana! Ubora wetu ni alama yetu. 🔥

Finishing master
Finishing master
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 10:39:43 GMT
21493
759
23
138

Music

Download

Comments

malkiaoisso
MALKIA OISSO♈ :
Yani Mimi natoa wapi hela mafundi wa TikTok kila siku jambo zuri
2026-11-18 15:29:15
2
gee_essential1
gee_essentials :
kazi nzuri na safi lakini rangi haziendani aisee ni nyingi mno
2026-11-18 17:36:31
5
izzy44820
Izzy :
mzuri wapi marangi mabaya kama nn
2026-11-19 14:23:59
2
amingo99
Amingo99 :
kaz saf sannnnna
2026-11-18 12:50:35
1
user9610425290814
Mpangwaaa boy call back me :
umeee Tishaaa kakaa😥😥😥
2026-11-18 17:49:05
1
politono.zanzibar
politono Zanzibar :
kaz imenyoka
2026-11-18 19:48:38
0
user1268130453176
user1268130453176 :
kaka kama ihi shingap
2026-11-19 17:29:52
0
mr.electric725
Mr Electric :
bei gani
2026-11-18 13:15:22
0
user4511811981462
maira-cute :
mashara
2026-11-18 11:55:27
0
youngmagarasa
fundi kupauwa Young magarasa :
safi
2026-11-18 19:02:40
0
djzorozanzibartz1
Djzoro zanzibar tz :
Kama Hii ngap
2026-11-19 07:34:55
0
jumuah28
Niradh :
2026-11-18 13:56:45
0
njau059
NJAU 🇹🇿 :
😁😁yan unavyoona rangi haiendani 😁 ila huwez amini Kuna mtu amependa vibaya mno ni vile hana ela 😁😁😁
2026-11-19 04:01:54
0
bin_shuaib
arfounshuaib :
hapana jmn
2026-11-18 12:45:04
0
binabiitwalibu
binabiitwalibu :
mkuuu hpo ulikua bange kichwani ha ha ha huyo boss muhays
2026-11-18 20:06:12
0
bree_bakes24
BREE's BAKES :
hii ni ya wamakonde
2026-11-19 14:49:36
0
prince_millan05
Prince_millan05 :
wekeni na bei tujue sio unapga sim unaambiwa 10m na hatufikii c unakuwa usumbufu sasa, weken bei hata ukipokea sim unajua huyu kadhamiria na anauwezo! hatutak kuitwa wasumbufu weka beiiiiiii
2026-11-22 05:48:47
0
ahmadahamis0
ahmadahamis :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-11-18 16:37:48
0
To see more videos from user @finishingmaster, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About