@undernews_: Hii ndo meli ya Mv mwanza ilivyogongwa jiwe #under #fyp

🥰UNDER 💕
🥰UNDER 💕
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 11:31:07 GMT
59188
1858
78
60

Music

Download

Comments

mary.osward
Mary Osward :
dereva vp alikua haoni
2026-11-18 11:34:04
7
m.laura912
laura912 :
meli imelipenda jiwe jmn nn shida[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 16:47:37
0
user695087327657
Aunty 🫶💔🌹 :
mmmh hii meli wakat nafika mwanza ndo ilikuwa najengwa
2026-11-18 13:36:58
5
uncled0909
one national :
dereva alishindwaje ku-control inakela sana mali za nchi yetu zinapoharika 😡kodi zetu hatumkomoi mtu ktk uzembe huo
2026-11-18 18:35:45
1
nzaghamba
Nzaghamba :
matengenezo ni trilllion miatisatisini na tisa mia nanen na nane elfu miasaba sabini na billioni tisa na kumi na mbili nukta tisa tisa tano
2026-11-18 14:56:52
6
user2105298885817
Missing my mum :
si ilikua inajaribiwa
2026-11-18 16:19:07
0
yohanajoseph66
yohanajoseph :
mhh MUNGU atukuzwe ilikua hatari kubwa sanaa
2026-11-18 12:39:10
5
user1726924098204
morningstar :
sijui wabongo ln tutaendelea yan kweny majaribio meli inagonga kweli
2026-11-18 13:45:07
0
autosync_ltd
autosync_ltd :
Yaaan meli inakunya moshi hvo hzo billion walizoweka zilienda wap
2026-11-18 14:00:15
0
genz9h
Gen Z 9 :
AIJAGONGWA IMEGONGA
2026-11-18 13:19:53
1
ndassvijora
Ndass ndass :
oya iyo ni sasa iv wakuu
2026-11-18 11:44:09
1
user2958233072224
zerote elia :
mungu mkubwaa jamani
2026-11-18 14:03:21
1
user6636859302245
bad girl :
kun mtu kasem wawek wimbo wa atratic😁😁😁😂
2026-11-18 19:39:44
0
herrykashindi
herrykashindi :
Et ilikuwa inajalibiwa
2026-11-18 16:03:43
0
user3041310941123
Mister never mind :
ivi dereva alikua kama anaona ndoto ivi sio
2026-11-18 17:46:39
0
evan24534
Akuku jr :
hiii inaitaji maelezo kamali serikali inatakiwa watoe maelezo kamili maana kilichotokea hapo ni mpango uliosukwa
2026-11-18 16:15:41
0
gosa518
GOSA🤟 :
jmn ni leo au
2026-11-18 11:45:06
0
user7618229369491
victor :
ashukuriwe mung
2026-11-18 14:16:21
0
tiktok.imuh.nine
imuH.009🇹🇿 :
Imegongwa au imegonga🤔🤔🤔
2026-11-18 14:10:08
0
fella613
FELLA :
dereva ajalipwa naye
2026-11-18 13:49:53
0
neema.michael33
Miss ney🦋 :
Ndo wanasema ilikua inafanyiwa majalibio wakati kuna watu ila hii nnchi yetu bhan 🙌🙌🙌
2026-11-18 18:09:45
0
gaston001_
Gaston_001 :
𝘏apo matengenezo ni trilllion miatisatisini na tisa mia nanen na nane elfu miasaba sabini na billioni tisa na kumi na mbili nukata tisa tisa tano
2026-11-18 15:30:35
0
userazary01
AZARY🦜🦜 BEY🐦 :
camera man alikuwa wapi mpaka akashindwa kuwasanua wajitupe kwenye maji🤣🤣
2026-11-18 15:04:34
0
user6800780366884tommy
tommy2025 :
dereva nieleze kwanza ulikuwa na niagani?
2026-11-18 14:07:34
0
user76683004948766
stevo :
Sii ndo meli mpya au
2026-11-18 12:16:22
0
To see more videos from user @undernews_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About