@barakahamis0: #Mungu ahsante kwa kutuokoa wana Mwanza 🙏kwa tukio hili

baraka👑
baraka👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 11:39:57 GMT
52295
3491
186
182

Music

Download

Comments

swaumu.rashid68
Swaumu Rashid :
ndo uweke wimbo wa Titanic
2026-11-18 19:52:50
21
salome.james92
c6 p"🥰😘 :
Leo hiyo meri leo meko Lori leo nyasaka blessing ajali leo pasiasi bodaboda leo sijui wapi.....🥲🥲🥲
2026-11-18 18:05:56
6
agnespaschal737
Aggy💔❤️‍🔥❤️‍🔥 :
lini hii jmn mbn niko mwanza na sijui hili
2026-11-18 17:43:51
8
luciaissa940
Lucia Issa :
kwani hapa ni wapi☺️
2026-11-18 20:57:24
0
elithabethpetro
elithabeth :
mungu asanty kwa kuwaponya ndug zetu
2026-11-18 19:30:33
6
user8481110217668
v.apple🍎 :
Mungu asante san
2026-11-18 19:19:16
2
neema.francis7
Ney AF :
hii ni lini jmn mbn mm nipo mwanza sijasikia hii
2026-11-19 08:25:38
1
wanaman90
@, Mumalekan Mweus :
hilo nibonge la tukio nivile 2 haijazam ila kuna watu wanachukulia kawaid ila ingezam ndo, wangeamin kuw nitukio
2026-11-19 06:23:21
5
m.junior463
M Junior :
lini tena hii
2026-11-18 12:53:12
0
kelvin.leopordy
derrick :
mcheni Mungu na kumtukuza maana saa ya hukumu yake inakuja msujudieni yeye alie ziumba mbingu na nchi
2026-11-18 18:15:20
3
sallypaul30
🦋🦋Sallie Paul🦋 :
nawe ulikuwem
2026-11-18 11:54:26
1
jb_eventsdecor
Jb events :
Wanaorekord matukio wanakuaga wapi!?
2026-11-18 14:50:29
1
queenlinah81
Princesslinah :
jaman ndo mme amua kuweka hyo nyimbo🥺
2026-11-18 17:36:54
3
jeftatimothy
Rafiki wa faida :
one sasa ametuharibia mawe yetu
2026-11-19 09:57:27
2
emmanuel.lucas714
Emmanuel Lucas :
poleni sana
2026-11-18 18:09:15
2
paulinapangipita
paulina pangipita :
hivi ni kweli
2026-11-18 12:17:55
1
whitebee49
WhiteBee🐝 :
kulikua na meli mbili sasa wakashindwa kupishana ndo ikapoteza muelekeo ikagonga mawe isigegonga mawe zingegongana
2026-11-18 15:41:40
0
user8581140819455
Simba mweusi :
polen sasa wakuu
2026-11-21 18:44:53
1
user2354301757788
Neema💜💙💋 :
poleni jamani
2026-11-18 17:51:56
2
gracensoro3
gracensoro3 :
ila wabongo buana Hadi wimbo Celine Dion khaa😅😅😅
2026-11-18 18:56:43
3
tzchris11
Tz-Chris :
all in all respect JPM mwamba wa chato
2026-11-18 17:59:10
3
user5297508173498monica
monicah Richard :
asnte mungu kwa Uwezo wako umeokoa watu wako
2026-11-19 19:12:34
1
..russy
..Russy🦋 :
🤲🤲🤲
2026-11-18 19:18:50
1
user7565386992946
user7565386992946 :
jamani imetokea Leo sangapi?
2026-11-18 17:56:00
1
alex.stevin1
alex stevin :
ni ugumu wa maisha au nn maana tuko mwanza na ata atujui kinachoendrea
2026-11-18 18:07:00
1
To see more videos from user @barakahamis0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About