@samio_love: YANI TUMEPATA BARAKA YA SOUND INAYO PATIKANA TANZANIA 🇹🇿 TU PEKEE LAKINI TUNACHUKULIA POA 😏 Miezi kadhaa nyuma mkali Bien-Aime Baraza kutoka pale Kenya 🇰🇪 aliwahi kumwambia kitu mwanangu 16 NAMBA (Family first) kuhusu singeli ila kwa bahati mbaya watu hawakumuelewa📌 Siku tutakayo elewana kama taifa tutaishangaza dunia nawaambia singeli ni global sound ✋ #Baloziwagetto #Wakienyeji✅
singeli nimziki mkubwa duniani kwa miaka ya badae lakini ili kufikia uko inabidi mzuie kwanza uyu anae tumia SOUND EFFECT AI inauwa mziki wasingeli kama amlioni ilo sisi tuna liona🎧🎧
2026-11-21 06:54:36
1
user1087909834654 :
upo sahihi kaka
2026-11-18 18:11:29
0
MOSES. :
ni sahihi mtaalam...
sema nguvu kubwa inahitajika na kamanda wangu uckate tamaa one day wataona michango yako katika kupeleka singeli international...
2026-11-18 15:08:27
0
sheby mzawa 🦟🇬🇧 :
kabisa mwanangu wanachukulia powa
2026-11-20 03:35:42
0
Matosa Mabegani :
2shaelewana sasa
2026-11-19 03:07:56
1
dvj xuma koleza :
ukweli ndio huo
2026-11-19 13:35:35
0
Typo :
kkufupi tutaangaaika sana ila iposiku tutakubali kuwa singeli ndo itatupeleka mbele🙌🙌🙌
2026-11-20 11:07:40
0
Pepe msafi💦 :
mbona kama nipo peke yangu
2026-11-18 11:53:35
0
WizzyD03 :
xahii. samio singeli ina sound ya. pek. yake
2026-11-18 12:32:04
0
Bijuwa🤘🏾🤘🏾Mtoto🇹🇿🇹🇿 :
😁swa😁 swa baba
2026-11-20 16:54:09
0
Abegham :
dah! sure
2026-11-18 14:57:21
0
tajio :
sahih kabisa ipo siku wataelewa
2026-11-18 20:14:38
0
Follow brand🎶 :
kwel kaka
2026-11-18 18:03:31
0
asiabarua :
fact,🔥🔥💯
2026-11-18 12:21:16
0
S man mc 99__code :
2026-11-18 16:26:34
0
@ryser_Naby2310 :
🔥🔥
2026-11-18 12:42:44
0
Ommy Gee💫💥 :
fact
2026-11-18 12:23:13
0
B Star Africa :
kaka naomba unipe sikio na mm uwezi jua uweonda ikatimia iyo kaka ebu niskilize. na mimi
2026-11-21 10:42:28
0
Johnson malyy :
kifup hata yeye ana ikubali yani
2026-11-18 15:16:27
1
Marley :
WAIMBAJI WAPO ILA WAPIGAJI WENGI
KWAOI KUTOBOA BADO
2026-11-18 15:14:48
0
#Franko_Anikomee :
wan loho mbay2 kk
2026-11-19 05:43:56
0
🇿🇦Sea 45 Hope 🇿🇦 :
katumwa awaambie asijisifie singeli mpaka mbele itafika miziki ya Africa itaimbwa italipa
2026-11-19 18:44:51
0
#️⃣Røád Fírë🪩 :
kaka wanaona Kam mziki wao tuna uua
#kusinimabegani
2026-11-18 12:52:14
0
alhaji mjeshi :
🙏🙏🙏
2026-11-18 12:07:32
1
To see more videos from user @samio_love, please go to the Tikwm
homepage.