@wasafifmredioupdate: Msemaji wa wadada wasiopenda kuulizwa wanazaa lini @tinna tuner ameshawaambia, acheni hayo maswali Tazama Mashamsham ya leo na @tinna_tuner @monicakinyami @djkidogodogo kupitia YOUTUBE Channel yetu. #MashamSham #MchezoUmebadilika
WASAFI FM
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 11:42:39 GMT
Music
Download
Comments
nkubamariam :
Tina ni Tina tu hayupo mwingine
2026-11-22 07:23:18
2
Ummu Hayman :
ilo ndio semaji la wadada pambe tuu
2026-11-22 10:06:15
1
phina wa yanga 💛💚 :
ety unaolewa Lin
2026-11-19 18:40:20
0
renathanyakahoza5 :
Nilipenda sana utangazaji ila bas tu, wambieeeeeeee
2026-11-22 11:33:00
0
momobeauty141 :
Moja kwa moja kwa status😂😂😂
2026-11-22 11:17:38
0
midda :
Jamani me nachoka mwenzenu
2026-11-22 08:22:48
0
djeefkazembe185 :
wewe ni baraka
2026-11-22 08:39:20
0
Grace Karata :
Moja kwa moja status🤣🤣🤣🤣
2026-11-22 08:05:13
0
mondivierynsokolo :
yaan waniache 😄😄😄😄
2026-11-19 17:22:01
3
Ramlah bint Abdully :
Maswali ya kipuuzi kabisaa watuache hebuu😂😂😂😂😂
2026-11-22 05:43:38
0
emy_fashionbusiness :
Hatali dada👌
2026-11-22 08:12:41
0
Irene Staslauss :
love u cn
2026-11-21 12:29:46
0
mrs nanyallah🌹🥀🌺💕 :
Yan nakupenda wewe!!! ujuwagi to
2026-11-19 05:57:25
0
philomenasylveste :
. Z.xxxxxx. .xxxxx.. .
2026-11-18 15:37:50
0
Kalunde Tumbo :
jamani dida huyu hapaaa[Broken heart][Broken heart][Broken heart][Crying][Crying][Crying][Pray]
2026-11-22 10:26:28
0
careen baby❤️❤️🥰♥️ :
au mtoto kakua unaongeza mwingine lini
2026-11-19 09:03:33
0
Eda anorld :
hahahahah hatal na nusu
2026-11-18 11:50:05
1
daddie daughter :
🥰🥰🥰
2026-11-22 08:35:19
0
furaha :
😂😂🙌
2026-11-19 14:51:23
0
Rehema Miraji :
😂😂😂
2026-11-21 04:21:37
0
user7119756160009 :
🥰🥰🥰
2026-11-21 14:19:34
0
To see more videos from user @wasafifmredioupdate, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.