@rriggygpresenter: Edwin Sifuna: Nataka kuwahakikishia kwamba nitakapochukua usukani mwaka ujao na kuingia Bungeni kama Rais wa taifa hili, kazi yangu itakuwa kueleza hatua ambazo serikali yetu imechukua kuhakikisha demokrasia na utawala wa sheria vinazingatiwa.