@uhondo.tv: Mapema leo jijini Mwanza, meli ya MV Mwanza imeripotiwa kupoteza mwelekeo na kugonga miamba ya Bismarck, huku tukio hilo likisababisha moshi mwingi kuanza kufuka katika meli hiyo. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo limetokea wakati nahodha wa meli hiyo akiwa katika jitihada za kutia nanga, kabla ya meli hiyo kwenda kugonga miamba hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa zilizoripotiwa kuhusu uwepo wa majeruhi kutokana na tukio hilo, huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakijafahamika.

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 12:26:50 GMT
92683
2212
96
110

Music

Download

Comments

emmanuel.ibrahim5
emmanuelibra21 :
Nahodha amelipwa hela yake ama anadai.
2026-11-18 14:09:07
11
pasy_tz
Pasy_Tz :
mbona field tushatoka
2026-11-18 13:37:39
5
tito.kazige
tito kazige :
sio ajali hiyo ni test bod kam ni ngumu inafaa kwa safali
2026-11-18 13:46:30
11
olvertwist8
🥰Oliver G💋 :
Dereva alikua anatap tap screen live
2026-11-18 15:19:50
0
user8563751491700
meda :
nahodha kaharibu bampa la mbele la meli
2026-11-18 12:55:23
6
09umlat
linameela :
Aya sasa sijui kina jack na rose wako wapi😂
2026-11-18 14:31:00
4
cathymugusi
Cathy Mugusi :
titanic part two
2026-11-18 13:36:22
0
nyaku.king27
@aim-nyaku27 :
usikute deleva amekimbia
2026-11-18 13:25:06
2
hammy9590
hammy💞💞 :
😂😂😂😂😂😂𝗗𝗲𝗿𝗲𝘃𝗮 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗹𝗶𝘃𝗲 𝘁𝗶𝗸𝘁𝗼𝗸
2026-11-18 13:24:14
3
barakasaid423
Baraka saaid :
Asante kwa tarifa ndugu mwandishi
2026-11-18 14:24:35
3
musaallysonshija
Mussa :
marekebisho ya hapo ni trion 200 na bilion 245,milioni 1000[Tears of joy];na shilini laki 10 na elf laki 2 na mia 1000[Laughing] MALAWI YANGU[Big LOL]
2026-11-18 15:25:54
1
asia8659
Afrika :
nauliza nani alimpa dereva Mua
2026-11-18 15:18:35
1
kariakoo_super_shopping
kariakoo super shopping :
Sema yalenga mwamba tena makusudi kabisa sababu meli ina navigation system na camera kila Kona
2026-11-18 14:55:08
0
user839325552109
Davie :
jaman titanic ya mwanza uuuwiii
2026-11-18 13:59:20
4
eddyoficial12345
~eddy✓£ :
deleva kalewa au
2026-11-18 13:48:49
0
gazuuh.de.yuppie
Gazuuh de Yuppie ❤️‍🩹🫂 :
:matengenezo ni trilllion miatisatisini na tisa mia nanen na nane elfu miasaba sabini na billioni tisa na kumi na mbili nukata tisa tisa tano
2026-11-18 13:46:18
2
dayoobuh
Amani :
Na jana tuu ilikuwa ime pack
2026-11-18 13:00:57
1
herrynzungu
herrynzungu :
mungu naye kaliepusha hilo siajabu asingegonga kunalingine lingetokea
2026-11-18 13:30:12
1
yujacs
Saja de Victory :
dereva nae hajalipwa , sijui atakuwa anadai sh ngapi
2026-11-18 13:13:36
1
yaqubzuma
yaqubzuma :
Hiyo Mwamba itolewe haraka kwa njia ya Meli
2026-11-18 15:07:14
0
zammy3899
zammy🦋 :
sio ya mkopo mana awachelewi ku2ongezea madeni
2026-11-18 15:37:39
0
ramadhani.kirungi
Ramadhani Kirungi :
sasa kama imefel Black
2026-11-18 15:22:49
0
dmakeleja
D47 :
sio mazoez haya kweli
2026-11-18 15:38:17
0
kidy_jax72
@kidy _Jax 72✨ :
Dereva lena au[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 15:13:52
0
ndassi.ze.don
Ndassi ze don :
hujumq
2026-11-18 12:31:51
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About