@nuktatanzania: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji, amesema kitambulisho cha Taifa kilichoboreshwa mwaka 2026 kitamwezesha mwananchi kupata huduma mbalimbali kwa urahisi kupitia mfumo utakaowekwa. Amesema huduma zitakazorahisishwa ni pamoja na upatikanaji wa cheti cha kuzaliwa, pasipoti za kusafiria ndani ya nchi za Afrika Mashariki, bima ya afya, namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) pamoja na taarifa za kundi la damu la mwananchi. Ameyasema hayo leo, Novemba 18, 2026, wakati wa uzinduzi wa kitambulisho cha Taifa kilichoboreshwa uliofanyika mkoani Pwani.
NuktaTanzania
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 12:34:42 GMT
Music
Download
Comments
Hancy_home_decor :
kwahiyo mtoto anilyezaliwa leo anatakiwa awe na tin number na alipe kodi asee
2026-11-19 06:13:25
19
Japhet Shihai :
jaman mm Sina namba ya NIDA na kitambulisho Cha taifaa je nitapataj
2026-11-19 07:48:35
7
Mama t :
NAOMBA KM KUNA MTU ANAEFANYA KAZI NIDA ANITAFUTE
2026-11-19 05:03:06
1
IKONDERA FURNITURE & HOME DECO :
New world Oder inatimia, walioko rohoni watanielewa
2026-11-19 12:48:41
8
20000farida :
na sisi ambao atuna chet Wala NIDA
2026-11-19 07:26:21
6
manga :
mnataka muanze kutuhangaisha sasa na mafoleni ya nida
2026-11-19 07:30:25
8
mufalisayo :
mlishindwa nn awali....this is bad use of national resources
2026-11-18 15:08:28
3
Ms Maria :
Mbon mi sn nida Jmn
2026-11-18 19:17:01
0
it's mwakisyala🇹🇿🇺🇲 :
wanamambo mengi mavitu yote ayo
2026-11-19 07:24:49
0
Em_♻️ :
sawa mwanetu😂😂😂
2026-11-19 10:26:50
3
mbuguni :
Hongereni sana kwa kupiga hatua sana hii imekaa poa sana
2026-11-20 17:48:07
1
Emilian Bundala :
Boreshen vitambulisho kwanza,tukienda kuchukua ID vimechubuka na huezi kuifaham
2026-11-19 14:28:00
1
wema 255 :
nashindwa kueleeewa
2026-11-19 10:22:17
2
joram mkweche :
yesu alisema muyaonapo changamkeni mkainue vichwa vyenu maana ukombozi wenu karibu🙏🙏🙏
2026-11-19 20:07:14
1
little angel ( Emiliana) :
nataka nida
2026-11-19 12:12:26
2
Mando Classic :
yaan uhuni tu unaongezeka kweli magufuli alisema tutamkumbuka
2026-11-19 13:17:47
1
mobrandy🇹🇿 :
sawaa mnafanyaa kaziii good
2026-11-19 12:25:41
1
jecca :
wanaotaka kuhaimia nje ya nje jaman nipitien namm naenda
2026-11-19 19:15:59
1
🏀 waziri chusi🦅🦅🦅 :
hiyo nzuri kulikokuja kuteseka ukubwani n NIDA
2026-11-19 09:11:57
2
Warioba's Son 47 :
hapo mmenikamata kodi itabidi tu nilipe dah ila serikali[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-19 10:36:48
1
mani❤️chunya :
naipataje
2026-11-19 10:02:58
1
Jacob Lezile :
hv kwanini Kila mwaka mnatuletea mengine kiasi kwamba raia tunaangaikia vitu ambavyo havina maana
2026-11-19 11:02:11
1
Prestige Midoli Tz backup :
Tunaiga Mifumo ya Kenya, kwani Tanzania hatuwezi kutengeneza mifumo yetu itayo rahisisha maisha ya mtanzania?
2026-11-19 07:43:59
2
Dee Pablo621 :
Kama zile tu mlishindwa kuzitoa kwa wakati wengne had leo hawajapata je hizo za mambo mengi hivyo mtaweza ??
2026-11-19 03:08:24
0
Shey_vipodozi :
Mngeungansha na lesen ya gar jaman [Teary eyed]
2026-11-18 14:06:47
1
To see more videos from user @nuktatanzania, please go to the Tikwm
homepage.