@mrshadracktz: MELI YAGONGA MWAMBA ZIWA VICTORIA Tukio la kushtua limetokea mchana huu katika Ziwa Victoria baada ya meli ya MV Mwanza kuripotiwa kugonga mwamba Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado zinahitaji uthibitisho rasmi, tukio hilo linadaiwa kusababishwa na hitilafu iliyosababisha nahodha kushindwa kufanya mabadiliko ya mwelekeo wa meli kwa wakati ili kuukwepa mwamba Hata hivyo, bado hakuna taarifa rasmi kuhusu chanzo halisi cha tukio hilo. #creatorsearchinsights #tiktokpostingandvideocreation#mwanza #foryou #iringa