Unajua kufundisha lkn kwenye swala la SABATO UMEFELI MZEE
24:11-20 Matayo
14:12 Ufunuo
SABATO Ipo mpaka kiyama kisimame.
2026-11-18 16:18:10
1
Alexander :
yani mzee wangu Mungu akubariki sana skuhizi tukiwa hata ibadani tunatishiwa tunaambiwa kama hatutoi fungu la kumi ni wajinga
2026-11-18 17:51:25
1
eunice dastani :
HAPO NAZIDI KUKUELEWA BARIKIWA
2026-11-18 21:26:18
1
Joseph Asukenye :
MAENEO YOTE WANAKUBALI NEEMA YA YESU INAPOKUJA SUALA LA MASLAHI YAO BINAFSI KAMA MAFARISAYO
2026-11-18 14:41:18
4
Beñgà ♻️ :
yesu alikuja kunyoosha mapito mambo mengi ya agano la kale siyo ya kuyafuata, kusali kanisani au kusali siku ya sabato sio lazma n kuamin katika kwel na kutegemea Mungu na kutenda mema mengine yote mbwembwe
2026-11-18 19:38:44
1
Ev.Scola@ :
Nakuelewa sana Baba
2026-11-18 19:11:10
1
sadick josephat :
kweli kabisa
2026-11-18 15:36:52
2
musha kirao nzai :
mimekfatilia nimejifunza mengi kutoka kwako ubarkiwe sanaaaa☺️
2026-11-18 14:17:13
2
Samwel Karugwe :
ameeen!!!
2026-11-18 20:05:33
1
user9652153603433 :
AMEN AMEN AMEN ubarikiwe mchungaji
2026-11-18 16:21:35
2
Musa enock :
sema mtumishi
2026-11-18 19:09:11
1
BROTHER ELIJHA✊️✊️💯💯💥💥 :
nimekuelewa ndugu wengi awaelewi haya kwa asilimia💯💯💯
2026-11-18 13:29:09
2
APOSTLE JAPHET MARAMBE :
watu hawapaswi kutoa kama sheria Bali ni kwa kumpenda MUNGU sisi tunaamini mtu akioka na wanampenda MUNGU ni lazima kutoa hata pasipo kukumbushwa
2026-11-18 20:56:17
1
user940579636884 :
asante nashukuru sana kwa mafundisho
2026-11-18 15:37:06
2
Aloyce Veda :
aminaa
2026-11-18 16:16:44
1
Fred Peter :
Amina baba
2026-11-18 15:35:15
2
zakiamseka :
baki na zaka zako
2026-11-18 19:07:17
2
Bruno Peter :
ndo upigaji ulipo
2026-11-18 16:38:24
1
la vie may :
Zaka habawezi yiacha kwasababu ndiyo ambayo ina wa bandishiyaka sadaka niwezi yakale yamepita wao wanasurutisha kumbe uongo
2026-11-18 17:26:04
1
GCS :
mbona wewe ndiye kituko sasa 😀😀
2026-11-18 17:44:39
1
f. f. b :
usipokua na sadaka wala zaka huwez kusali kwa SASA
2026-11-18 22:45:01
0
To see more videos from user @ezramagesa, please go to the Tikwm
homepage.