@zelott_big: MELI Ya MV MWANZA ILIVOGONGA JIWE LA BISMACK, Aisee MV MWANZA imegonga Jiwe la Bismarck asubuhi ya leo 🙆🙆 Shida nini? Mliopo mwanza? ✍️✍️ #mvmwanza #mwanza #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending #tiktoktanzania🇹🇿

ZELOTT
ZELOTT
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 12:51:19 GMT
42433
662
22
46

Music

Download

Comments

buthalia_hussein
Buthalia_hussein :
Kwani alikuwa haoni?
2026-11-18 17:38:01
0
merina.igayo
Merina igayo :
alikua anawza nini jmn
2026-11-18 17:21:25
0
user6022863625968
Rosemary majaliwa :
jamani hiyo lini hiyo
2026-11-18 15:48:23
0
user1733854612785
user1733854612785 :
alikuwa haoni???
2026-11-18 16:46:47
0
jescaelias573
Jesca Elias :
mazoezi hayo😃
2026-11-18 17:01:17
1
user3846117788595
maggie.07 :
lin iyo sas
2026-11-18 19:46:01
0
jose.simba90
Jose Simba :
ukweli watu mtaongea tu tambuen brek za meli sio kama za gari
2026-11-18 19:44:15
0
christina.nyabori
Christina Nyabori :
kwani arikuwa aoni
2026-11-18 19:16:23
0
iamfayma1
𝕚 𝕒𝕞 𝕗𝕖𝕥𝕥𝕪𝕡𝕠𝕙🦋💝 :
Kwan haina break 😁
2026-11-18 18:25:13
0
z_almandhry
Z_AlMandhry :
titanic
2026-11-18 13:40:46
1
merina.igayo
Merina igayo :
jmn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-18 17:37:44
0
nyambuli
. :
AI
2026-11-18 19:07:21
0
hajra561
HAJRA :
imagine ni mchana kama sio jinamizi ni nini 😏
2026-11-18 15:42:45
3
tino_tik
Tino TiK :
Shida nn mpk captain/pilot kaenda kujaribu nature ya mawe ya Bismarck? Au hana uzoefu na chombo?
2026-11-18 15:13:56
1
mrevengerz
mrevengerz 1989 :
hao jamaa wanaotizama meli ingezama tusingewaelewa maana hamuwezi mkawa mnashangaa badala ya kuokoa
2026-11-18 19:32:13
0
usertumu
usertumu01 :
c bora imegonga kweny kufanya majaribio
2026-11-18 18:34:31
0
dadamkubwa36
❤️❤️ :
mungu atuepushe shetani yup kazin
2026-11-18 14:30:08
0
valdez.469
GK SerKAL@🇺🇸🇰🇪 :
Shida ya Kusoma Physics Kwa Kiswahili😊😊🫴Mkuje Msome Kenya
2026-11-18 18:50:54
0
To see more videos from user @zelott_big, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About