Mr Over unankipaji cha utangazaji mashallah hem kiendeleze ufungie online media ujiajiri unaweza kupata mafanikio makubwa
2026-11-19 06:08:46
1
chabiy fashion 1077 👌😍 :
Allha amtile nuru ktk kaburi lake
2026-11-18 13:51:23
6
Suleiman :
waislamu wenzangu tusiache kuswali
2026-11-18 18:57:47
13
Khamis Saleh965 :
MashaAllah Allah ampe kauli thabit,na jaannat Firdausi
2026-11-18 14:41:49
11
Ayoush zanzibar 🌴🇹🇿 :
Allah amlaze pema pepon 🙏🏼
2026-11-19 05:07:24
4
MAUR BWANAMAKA :
Qabus alipindua serikali ya baba yake na akamdunga house arrest maana babake alikua hataki uleo nae baada ya kusomea Uingereza hakua Tayari kubaki nyuma.
2026-11-18 17:50:14
6
Agecare8 :
ameandika historia ambayo haitasahaulika
2026-11-19 06:05:14
2
💦Miss ushley🍓🍒 :
baba aliniuma huyu alipofariki nilikuwa nampenda sana Allah amrehem
2026-11-19 04:15:36
3
damuna❤️ :
Allah amrehem 🥺🥺kipenzi cha wajene wazee yatima hadi wanyama 🥺Mungu amsamehe kwa Yale alo tanguliza na alo chelewesha
2026-11-18 19:10:51
3
bibiejuma6 :
nililia niliposikia amekufa
2026-11-19 06:15:08
1
Ukhty 💖 :
Nakumbuka 2017 nilikutana nae hospital ya jaalan Allah ampe kauli thabit
2026-11-18 14:59:04
6
Hamoud Badru Hamoud :
Mashaallah tabaraka rahman
2026-11-19 06:58:19
1
ummusahlaa :
Boss wangu anamtaja kila Leo Kwa sifa njema anamkubuka kila Leo na kuzitamani anzi hizo.
Allah amrehemu...
2026-11-19 04:52:21
2
Shenaz Hasham :
mashallah ameen ameen ameen 🤲💐
2026-11-19 13:28:47
0
osman jama 78 :
that is very true story he was good Muslim leader may Allah grant him place in janatul firdaws ameen
2026-11-19 09:03:10
0
yahyadicaprio :
amin
2026-11-19 04:25:50
1
hisham :
Amin
2026-11-18 16:16:25
1
user7401227252019 :
Allah alrehemu
2026-11-19 06:34:01
1
AR :
Allah Amrehem na amjalie pepo ya Firdus Amin
2026-11-18 16:44:13
0
ima🧚♀️ ♋️ :
Allah amrehemu wallah tulikuw tunampenda sana ila Allah kampenda zaid 🥺
2026-11-18 18:30:34
2
zanzibar ❤️zaman :
ameen yaraby 🤲
2026-11-18 22:17:20
1
@waheeda :
Allah yarham
2026-11-18 18:02:07
0
To see more videos from user @mr_overr, please go to the Tikwm
homepage.