@claud_himself: Meli ya MV New Mwanza imeripotiwa kugonga mwamba wa Bismarck Rock katika Ziwa Victoria leo, Jumatano, Novemba 18, 2026, majira ya asubuhi. Taarifa za awali zinaeleza kuwa tukio hilo lilitokea wakati nahodha akijaribu kuepusha mgongano na kivuko kingine kilichokuwa kikitokea Sengerema. #mvmwanza #mvmwanzaleo #lakevictoria

ℂ𝕝𝕒𝕦𝕕
ℂ𝕝𝕒𝕦𝕕
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 13:07:28 GMT
21080
796
16
53

Music

Download

Comments

juvenali.jemsi
juvenali jemsi :
kwani kunaninite
2026-11-18 16:18:00
1
user32477788716318
CHINGA BOY MNYAMA :
jaman mng atusaidie san mwisho ea mwaka huu
2026-11-18 19:59:17
0
barakacosmasi953
Baraka cosmasi :
wapi hap
2026-11-18 16:39:40
1
patrick.vieira086
mkerewe official :
daah
2026-11-18 13:37:45
1
user4411634673493
zigi masera pesa :
Wana mwanza poleyetu hamuna mazala yakupoteza ndugu zetu
2026-11-18 17:53:28
0
user6162746067541
usermidaka691848340 :
mungu katubarik turio kuwa ndani tumetoka sarama👏
2026-11-18 17:34:13
0
user9478348270102
Francisco :
at haijaanza kazi ishagonga?
2026-11-18 16:02:21
0
bongo.fleva.hits
BONGO FLEVA HITS ONLY :
hii imeshaonesha dalili mbaya
2026-11-18 17:25:51
0
remigius.faustine8
Remigius Faustine :
hiyo lini hiyo
2026-11-18 18:06:26
0
luca.ernest2
Luca boy :
ime zama kamanga fel
2026-11-18 16:27:45
0
calvinstore84
^^CALVIN ,,,OUTFIT ^STORE👕 :
mwaka hauish bila mojja kizama[Tears of joy]
2026-11-18 17:38:18
0
mohamed.seif574
mohamed seif :
uyu babu dele atakua na asira na wagermany
2026-11-18 16:21:00
0
chodomalley2
Malley Malley :
nitest ya ubora wa mashua yetu ya mwanza halaf kama hujuwi mimi ndo dereva hii haikua bahat mbaya
2026-11-18 17:27:15
0
jofurei.bwatwa
Jofurei Bwatwa :
🥰🥰🥰
2026-11-18 17:21:38
0
eliasgmail.com776
[email protected] :
😂😂😂
2026-11-18 17:16:43
0
To see more videos from user @claud_himself, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About