@uhondo.tv: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji, amesema mtu asiye na kitambulisho cha NIDA hataruhusiwa kufunga ndoa, akieleza kuwa tayari wameanza mazungumzo na viongozi wa dini kuhusu utaratibu huo. Kaji amesema hatua hiyo inalenga kudhibiti wageni wanaotumia ndoa na Watanzania kama njia ya kupata manufaa ya uraia, huku baadhi yao wakijifanya kuwa raia wa Tanzania. Amesema mpango huo ni sehemu ya kuunganisha huduma mbalimbali kwenye mfumo wa NIDA, ambapo taarifa za ndoa na talaka zitakuwa zikihifadhiwa ili kurahisisha utambuzi na ufuatiliaji wa taarifa za watu. Aidha, amesema mfumo huo utaunganisha taarifa za kuzaliwa na vifo, ikiwa ni sehemu ya mageuzi ya teknolojia

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 13:16:41 GMT
135648
4356
509
1067

Music

Download

Comments

silvesterpeter1
September26 :
taifa litakua single 😂
2026-11-18 14:22:28
88
oziiiily.umeme
oziiiily umeme :
[Innocent][Innocent][Innocent]nida inahusiana nn na ndoa[Innocent]
2026-11-18 13:57:03
41
chidnma.trending
CHIDNMA COLLECTION👗 :
bora hata tumepata sababu nyingine
2026-11-18 15:05:42
98
katorosweetheart
Umbeawainstagram :
Afadhali sitoolewa😂😂😂😂😂😂😂 nlikuwa nawaz nitapata sababu ipi😂
2026-11-18 17:48:43
13
sophia.chiwangu
Sophia Chiwangu :
bba Ako alipo muowa mma Ako alikuwa na nida
2026-11-18 16:17:41
25
farhiya..4
Farhiya urembo :
jamboa la dini linahusiana vipi na mambo ya dunia
2026-11-18 18:07:15
7
user44259204157740
~لغة الجسد القاتله :
The development is there, may God strengthen you.
2026-11-18 18:46:26
0
khadija.hassan852
the dijjah 🎀 :
na mahusiano mngefanya mpango ili kutusaidia sis watoto wa wat tunalia sana
2026-11-18 14:54:30
18
amirihemedi213
hemedi Abedi :
kwani kime kuwa kitabu cha dini
2026-11-18 13:36:06
14
monicacassian3
monatrace :
iyo leo iyooo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 17:11:01
0
user2629197175616
@jojo.💞💞 :
bas siolewa tena [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 17:02:51
0
user5181292710259
user5181292710259 :
NIDA n nn please
2026-11-18 17:49:48
0
moniccalucas102
Monicca :
Jamn had ndoa nida
2026-11-18 17:04:16
0
epiphany.severine
Epiphany Severine :
swala lakuowa niswala lamtu binafsi yani hatamlete sababu kiasi watu wakisema hakuna kufunga ndoa nimwendo wakuzaa tuu
2026-11-18 16:34:01
6
abdullnurbillhussn
Abdulnurbilhusni :
serekali Haina dini vp mnaingia kwenye dini sasa
2026-11-18 16:02:24
6
comred_spoiler
Ç⃠Ø⃠M⃠R⃠Ë⃠D⃠☠️☠️ :
tutakaa singo wengi[Laugh approved]
2026-11-18 15:18:24
0
johnocean611
John Ocean :
Kitambulisho Sina na ndoa nafunga
2026-11-18 17:13:09
0
johnson.zk
Johnson zk :
mnashindwa kudili na vitu vya maana sasa nida inagusianaa nini na ndoaaa
2026-11-18 19:01:13
0
pendommarekani
pendo :
mbona ukiwa na hiyo NIDA una shida inahitaji tena barua ya mjumbe cjui serikali ya mtaa ya nini tena wakati NIDA ni utambulisho tosha? hapo ndo mnafeli
2026-11-18 15:02:25
7
pauloyster0
pauloyster :
asante vijana sahiv hawaoi
2026-11-18 14:35:24
7
diva.offical1
Aalyah diva :
labda mgesema siwez kufa sawa kumbe ndoa
2026-11-18 19:25:01
0
bashir_elixirs
Bashir 🇹🇿🇿🇦🔬 :
kwani ndoa lazima mtakuwa mmenipa sababu ya kutokuingia kwenye Ndoa wallah[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 18:41:37
1
kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
YESU ANARUDI HII NDO CHAPA TUWE MACHO
2026-11-18 19:19:58
3
officialgide
officialgide :
me sina nida stakiwi kuoa kama wanataka nioe wanitafutie nida wao maana viambatanishi vyakupata nida sina ata kimja
2026-11-18 16:11:17
1
gloryglory7002
glory :
ndoa na serekali ina uhusiano gani
2026-11-18 15:26:32
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About