@bbcnewsswahili: Umoja wa Ulaya (EU) umeendeleza vikwazo vya usafiri wa anga dhidi ya mashirika ya ndege kutoka nchi 12 za Afrika, huku mashirika 87 ya ndege yakiwekwa kwenye orodha yake ya usalama wa anga kutokana na wasiwasi kuhusu usimamizi wa viwango vya usalama. Tanzania ndiyo nchi yenye idadi kubwa zaidi ya mashirika ya ndege yaliyotajwa @frankmavura anaelezea zaidi #bbcswahili #foryou #fyp #viral #tanzaniatiktok

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 13:20:51 GMT
110847
4919
242
242

Music

Download

Comments

baracsalec
Manalone :
mashirika 34 tz tumeyatoa wapi ???[Innocent]
2026-11-18 14:08:49
131
eng.mwafyijinja
Mwafyijinja_🐵 🤨 :
How is Kenya 🇰🇪 majirani NOT in the list!? We all know Ndege wafananao 😁
2026-11-18 15:41:29
8
lulu.msanze7
Lulu❤️ :
😂Why majirani zetu hawajaingia jmn
2026-11-18 14:09:17
31
agatha62650
Agatha💙 :
Mashirika 34?? Au mmejumisha na Mashirika ya ndege zetu za jadi jamen
2026-11-18 14:21:37
126
tanzaniarevolution
TzDeservesAnswers :
#Justice #Truth #Accountability
2026-11-18 21:12:22
0
idrissamohamed16
idrissamohamed16 :
Kwani Tuna Mashirika Mangapi ya Ndege?
2026-11-18 14:19:56
7
user182170458
user182170458 :
Zuwieni Ndege Za Ulaya Zisituwe Tznzania
2026-11-18 14:07:27
35
princessfetty16
princess Fetty🇹🇿 :
Nimetoka kugogle tukiweka yetu mawili na ya kukodi Hatufikishi kumi sasa sijui wamehesabia na mwendo kasi au 😂😂
2026-11-18 14:29:52
24
tinamuzo2
Tina :
so far tuna mawili tu precision na air Tanzania au Kuna nyingine embu educate me please
2026-11-18 15:07:17
5
tankeflukt01
❝𝗝𝗨𝗡𝗚 𝗪𝗢𝗢𝗛❞🇽🇰 :
yaan TANZANIA tuna mashirika 34? Yako wapi sasa 😂
2026-11-18 14:46:17
6
peterson35716
Peterson z :
Tanzania don't have insurance cover
2026-11-18 18:44:24
1
simba.0.l
ŠÏMBÃ :
Najua Mko huku watu wangu wa KQ😅😅
2026-11-18 14:35:08
10
ibrahim.naster
Ibrahim Naster :
so what!?
2026-11-18 16:14:20
0
naseebismailyshil
Official Naseeb junior :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Naipenda Nchi yanguuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-18 13:27:58
12
stana488
stana :
Kenya mbona hawajafungiwa ama janja janja mingi
2026-11-18 16:37:40
1
kimkontrol1
KAKAGEORGES...🏈🏓🇰🇪 :
Yaani kuenda Ulaya na America Mtanzania yeyote ule lazma apite Kenya,mpaka rais wao mchochole. Stay guided.
2026-11-18 23:08:32
0
agasto254
Agasto :
Dah!!! Hivi vita vya kiuchumi sio rahisi i say. Nina wasiwasi na mashaka mengi endapo jirani hahusiki katika hili.
2026-11-18 18:02:29
0
khatibually7
Marley :
TZ ubabaifu mwingi...
2026-11-18 13:52:54
5
cletus.john4
Cletus John :
kuna ndege moja AIR TANZANIA ikiwa inapita hapa kinondoni inakuwa inaunguruma sijui break hile wkt inaenda kushuka Airport hizi ndege CIG kila siku anasema mashirika ya hasara tu
2026-11-18 13:55:57
5
kina_oby
obby :
Fitina za Kenya
2026-11-18 15:36:00
3
nyagei
Nyagei :
Hayo mashirika 34 ni yepi hasa?
2026-11-18 14:00:47
2
isaac.mlyuka
Isaac mlyuka :
hii huwezi ikuta kwa milladayo
2026-11-19 05:39:17
0
kingsule081
Anko~S✌️💥 :
hatujasikia Kanya,
2026-11-18 17:17:31
0
niyonzima_e
Eng.Niyonzima jr E :
ubora?
2026-11-18 15:37:34
2
babakeabubakar
babakeabubakar89 :
tanzania ni mauza uza tu
2026-11-18 15:56:40
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About