@mtoto_wa_maria: 🎶 Wimbo wa Kuingia | Dominika ya 34 ya Mwaka A wa Kanisa 👑 Sherehe ya Kristu Mfalme 👑 Ufunuo 5:12, 1:6 — "Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kupokea uweza na utajiri, hekima na nguvu na heshima. Utukufu na ukuu una Yeye, hata milele na milele..." Usisahau ku-share, ku-like na ku-comment, ili wimbo huu uwafikie watu wengi zaidi. 🙏 Nakutakia Dominika njema yenye baraka tele! #furahatemba #catholicsongs #catholicmass #viralsong #fyptrending