@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh abdulrazak Amir Amegusia Namna Ambavyo Uhusiano Baina ya Mume Na Mke isifikie Mahala Mke Akamfananisha Mume Wake Na Mwanaume Mwingine Pia Mume Kumfananisha Mkeo Na Mke Wa Mtu Mwingine Pia Haifai Kwa Kumfananisha Mkeo na Mke Wa Mtu Mwingine si Jambo Zuri ni Jambo Baya