@selphix_media1: Sheikh Nurdin Kishki amesema upo umuhimu mkubwa wa kulinda Migongo kwa maana ya umuhimu wa wanaume kujilinda na kulinda watoto wa kiume kutoingia kwenye dimbwi la mahusiano ya jinsia moja kwani ndiyo sababu pekee ya kuwa na Taifa imara. Watoto wa kiume, vijana na wanaume wote wasipolindwa vizuri kwa miaka ya baadaye kutakuwa na vizazi vya viongozi tepetepe, masheikh tepetepe na maaskofu tepepepe. Sheikh’s Nurdin Kishki ametumia tafsida kwa kutumia kauli ya Msanii Dudubaya “Linda mgongo wako, hali ni mbaya” kwa nia ya kuzungumza ukweli katika hali ya busara na kutovunja maadili ya mtanzania ya kuzungumza maneno makali waziwazi bali kuzungumza kwa nidhamu na kujitambua. #selphix_media #selphixupdates #tiktokviral #fyp #tiktoktanzania🇹🇿
Allah anipe mume mwema na anijalie kizazi chenye kumjua yeye allah pekee 😭🤲
2026-11-19 17:26:55
17
rehmoney🌹🌹 :
Mwenyez Mung atulindie wey uzid ku2patia mawaidha zaid
2026-11-19 04:13:31
70
Papa Wa2026 :
Shekhe angalia maneno yako hayo.
2026-11-18 14:38:31
14
Done :
tkbir
2026-11-19 06:09:51
16
viatu :
kauli ya Linda mgongo kwa shekhe so saw
2026-11-19 13:12:12
10
yasmin 798 :
natamani weww ndio ungekua rais[Pray][Pray]
2026-11-19 15:29:14
9
gita boy :
yarabi tusaidie kizazi cha muhammady
2026-11-19 08:39:21
8
Marco Naftal Siuhi :
Kishki wewe ni mtu sana mimi ni Mkristo ila napenda mtu anayesema ukweli Mungu akulinde shekhe hii vita ni kubwa You Better Watch Your Back
2026-11-19 13:45:21
6
VELLANO THE DON :
Hata mimi nina muunga mkono shekhe kishk
2026-11-19 09:19:33
38
ZUNGU :
inna lilah
2026-11-19 17:22:43
0
Naima wangu :
ikiwa shekh kesha ikubali kauli ya dudubaya mi nani nipinge lazima mgongo tulinde
2026-11-19 08:27:03
24
T w a I l I y 🏍 :
mungu avilinde vizazi vyetu ishaalah
2026-11-19 08:54:05
14
Emmanuel Magoiga :
big up my rider 🌹🌹🌹
2026-11-19 15:09:34
0
T.O.E THREE 3 :
nakubaligi sana huyu mwamba
2026-11-19 08:44:18
10
Abdul Mkove :
mungu akulide sana
2026-11-19 16:56:57
0
kibwetele :
duh kweli sheee
2026-11-19 15:53:33
1
miraji2005 :
takbiiiiiiiiir
2026-11-19 06:37:21
7
@inveseble man Tsap# :
kwer[Pray]
2026-11-19 08:50:33
1
dida 🦋🦋 💓💓 :
Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah
2026-11-19 11:24:52
6
DADY sk💰🍁 :
Allah Tujaalie Mwisho Ulokuw Mwemaa 🙏🤲
2026-11-19 08:35:07
7
Ba Hirsam :
tunatakiwa tukuwekee ulinzi mkubha sana shekhe nurudini
2026-11-18 19:51:48
12
Eddy@311 :
Ilo ni sahihii kabisa
2026-11-19 05:25:22
5
L.YAMAL10 :
subhanallah,🥹🥹🥹
2026-11-19 09:00:56
6
Mr uchebe jr :
kemea shekh Allah akulinde katka hili
2026-11-19 05:47:48
7
michy :
Nakuunga mkono shekh wangu
2026-11-19 10:09:30
5
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm
homepage.