@nabiiwandoto:

Nabii wa Ndoto.
Nabii wa Ndoto.
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 14:26:52 GMT
25695
3252
317
185

Music

Download

Comments

neema.maheri
Neema Maheri :
amina
2026-11-20 14:33:22
1
samuelodera839
samuelodera839 :
Amen and Amen mtumishi hapo ndipo umengonga neno 🙏🙏👍
2026-11-20 09:34:53
0
famousrkr
famousrkr :
AMINA KUBWA
2026-11-19 07:20:55
3
annaemanuely2
eman daughter ❤ :
baba unanifundisha vizuri MY GOD BLESS YOU 🙌
2026-11-19 02:52:40
0
bm.0752176567
user5971946331005 :
Mungu hajaniacha, Mungu yupo na Mimi.
2026-11-18 16:09:13
18
benayah36
@ dreamy. light 🌺 :
Nabii kuna ndoto niliota nasindwa kujua maana yake Niliota mamangu akinipigia simu akaniambia nitakapo enda nyumbani nimupelekee saani na kofia please nisaidie[Pray]
2026-11-19 09:22:43
0
user42601632231637
amos :
Mungu Yuko pamoja na mm hajaniacha.amina
2026-11-20 12:02:41
2
mercidanielmerci
Merci Daniel merci :
jambo mutumishi wa MUNGU, tafazali niliota ndoto ambao unanisumbuwa sana baba, niliota Nyumbani kwangu kume jaa na siafu nyingi sana
2026-11-18 15:36:12
1
awali0335
Ester/Lucia :
katika mapito yote nilimwombaga Mungu nisikose chakula siku moja nikawa na hali ngumu uwez amini walikuja wageni wawili mmoja kaja na mchele kilo 3 na mwingine maharage kilo3 maharage mpaka leo ninayo kabla hawajaondoka wakaomba niwasuke mmoja akanipa elfu 9 mwingine elfu 10 yan walikuja kwa pamoja nilimshukuru Mungu sana na niliamini Mungu hajaniacha Mungu yupo na anatupenda sana
2026-11-18 18:41:15
11
dizoboyclassic
dizzo_furniture :
ni kwl kuna muda huna hata mia ila cha kushangaza utashangaa ghafla tu umepata hela ya kula hapa nakuelewa🙏🏻
2026-11-18 20:45:18
1
paulinamwambozi
paulina :
mtumishi niliota niko Sehemu fulani kimbunga akitokea mi nikakimbia ndani kumbe inje kuna mtoto baada ya hapo kili vuma kimazingira mtoto baadaye ilifurika na mtoto sikumuona maana yake nin mtumishi
2026-11-19 08:47:14
0
user5793708823281
Leonia :
mungu bdo hujaniacha
2026-11-20 11:42:47
1
officialjawena
officialjawena :
Mungu yupo Pamoja na mim kwenye maish yangu
2026-11-20 12:08:44
1
jescajosephnuru
jescajosephnuru :
MUNGU YUPO PAMOJA NAMIMI
2026-11-19 07:03:32
2
5545.middo.real
Middo 45 real :
MUNGU YUPO NA MIMI KATIKA MAISHA YANGU
2026-11-19 05:48:57
4
angelina.humbe7
Angelina humbe :
Mungu yupo pamoja nami
2026-11-19 09:04:28
1
khimaisha
Bi Aisha 🥰 :
MUNGU Bado hajaniacha
2026-11-18 15:48:53
3
suzanjustine
suzan❤️ :
huyoo ni mim kabisa nasema tu ahsante Yesu🙏
2026-11-18 17:00:13
6
furaha.pitar
Furaha Pitar :
mm mpka kunamda nachoka kuomba nabaki kusema basi tu
2026-11-19 11:33:31
0
user3804337461376
user3804337461376 :
Mtumishi watu wanaishi na maumivu wanawatafuta watu wa kuwatia moyo lakin hampokei simu jaman
2026-11-19 07:12:15
0
marywairimu7540
Mary Muchemi :
Amen 🙏🙏🙏
2026-11-18 18:41:03
1
user4086705572960
user4086705572960 :
mungu Yuko pamoja nami
2026-11-19 02:29:43
1
bm.0752176567
user5971946331005 :
Mungu hajaniacha, Mungu yupo na Mimi.
2026-11-18 16:09:13
1
ciciliakathure1
Cicilia Kathure :
amen 🙏🙏
2026-11-18 16:12:58
1
editha.james8
Editha James :
Aminaaaaa na ndio mana tunapaswa kushukuru kwa kila kitu na katika nyakati zote Mungu ni mwaminifu kwetu
2026-11-18 20:43:27
1
To see more videos from user @nabiiwandoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About