@uhondo.tv: Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Patrobas Katambi ameeleza kuwa Kitambulisho kipya cha Taifa ambacho kimezinduliwa leo na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kitakuwa na mjukumuiko wa Taarifa mbalimbali ambazo zitasaidia kupunguza mzigo wa Watanzania kutembea na lundo la vitambulisho kwenye wallet. Waziri Katambi ameyasema hayo leo wakati akizungumza kwenye halfa ya uzinduzi wa kitambo jipya cha Taifa iliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Wednesday 18 November 2026 14:32:00 GMT
Music
Download
Comments
Meshack_Pius :
Cha Ndoa kwenye Wallet[Thinking][Thinking][Thinking]
2026-11-18 15:34:48
7
kassim muya :
Katambi umeongea fact
2026-11-18 14:44:23
15
majikojiko :
kama cha nida kukipata ni miaka miwili had 3 je hicho ni miaka mingapi kukipata?
2026-11-18 15:31:04
5
Jackson Elias :
Acheni kutuzuga
2026-11-18 15:42:58
1
raphaely mwaluko :
Mimi uko nimevuka[Laughing]
2026-11-18 16:17:21
0
gebro :
nida ililetwa na magufuli
2026-11-18 14:59:29
1
JAHANGIRsMIRZA🔵 :
Bank,nida,leseni,kura,afya,kazini.
2026-11-18 16:51:29
2
camavinga :
nimekusikiliza vizur ila kwenye kumpigia makofi samia utanisamee
2026-11-18 18:27:02
1
💥Mr Yazidu Ally 💯 :
big point sanaaaaa
2026-11-18 16:22:16
0
charm Umbayda :
ili iwe rahisi kufoji kura hakuna kitu apo ww tuambie lini na vip kipato cha mkulima wa tanganyika hayo hayana maana mnawaharibia mda hao wasikilizaji
2026-11-18 16:34:39
0
OdmanShuku :
Sisi tunapenda kuonavyo vingi ongezeni vingine tuwe tunabeba kwenye bage😃😃😃
2026-11-18 15:17:49
0
TIBA :
Na hapo ujaweka NMB,CRDB,NSSF,BIMA
2026-11-18 14:46:24
1
mugabobarnabe :
Makario yenyewe anasemaje?
2026-11-18 18:27:46
0
Jakobo Madanda :
dah....sasa....naenda kukuelewa katambi....na...hilo....ndilo...nilikuwa....nafikilia....hatimaye...umefumbua....safi
2026-11-18 15:23:21
1
nicas :
sijui Leo nicoment🔥
2026-11-18 19:05:35
0
Major the Animal :
Waziri neno tunataka ndio unprofessional kabisa ilitakiwa iwe tumefanya hivi ili ID iwe moja so kuanzia sasa ID ni moja tu na sio tunataka
2026-11-18 18:46:39
0
hafidhissa75 :
tutachelewa sana nchi hii kupata maendeleo tunaludiabludia vitu vile vile mbona kama tunapoteza muda
2026-11-18 16:23:46
0
majikojiko :
hiii nchi upigaji hautaisha had tunazikwa
2026-11-18 15:28:00
0
zefania the DON :
mbona vinatusaidia tukiweka mfuko wadada wanajua kuna hera kumbe ni vitambulisho tu
2026-11-18 15:56:37
5
Tajikistan :
samahani wananchi ndio wako wapi au mko wenyewe jamanii😂😂
2026-11-18 18:37:36
0
Evodia Emmi :
miaka yote mlikua wapi
2026-11-18 19:17:17
0
angano jipya ukweli yesu yupo :
hizo nida Zina husu nyie sasa siyo sisi ambao hatuna hata mambo mengi
2026-11-18 18:59:04
0
🌟ROYAL🇹🇿 FURNITURE 🇹🇿TZ🌟 :
😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-18 18:38:03
0
Rahim Haji :
Sasa ukipoteza hicho kimoja je cha NIDA chenye taarifa zote
2026-11-18 19:18:11
0
IssaH :
Fact👏🏻
2026-11-18 15:09:47
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.